GE2025 Video: Tazama uchafu wa askari walivyopiga risasi kwa wananchi waliosimama tu barabarani

GE2025 Video: Tazama uchafu wa askari walivyopiga risasi kwa wananchi waliosimama tu barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.

Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote hile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa


uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini.

Utawala wa madiktekta uchwara hapa Tanzania una kopi na ku paste yafuatayo kutoka tawala za ma dictator:

NJAMA KUBWA ZA VYOMBO VYA USALAMA DHIDI YA WAPINZANI / RAIA HURU HUKO LATIN AMERICA (CHILE)

Operation Condor​

A criminal conspiracy to forcibly disappear people​

1. COORDINATED REPRESSION
2. CONDOR I, II AND III
3. ORLETTI II
4. SOME OF THE STORIES TOLD DURING THE TRIAL
5. THE RIGHT TO TRUTH
6. THE ACCUSED AND THE VICTIMS
7. THE VERDICT

Nosotros no sabíamos | León Ferrari

Within the context of Operation Condor, the coordinated repression passed through different phases:

-In the first, a centralized database was created on guerrilla movements, left-wing parties and groups, trade unionists, religious groups, liberal politicians and supposed enemies of the authoritarian regimes involved in the operation.

-In the second, people considered political “enemies” at the regional level were identified and attacked.


-In the third and final phase, operations were carried out to track down and eliminate persons located in other countries in the Americas and Europe.

The declassified documentation available shows that various US government agencies had early knowledge of the scope of the repressive coordination and did not make much effort to stop it until it had reached the third phase, which proved the most problematic because the operations could no longer be kept under wraps

READ source : Operation Condor


trialinternational.org
Augusto Pinochet-Ugarte

6 Nov 2012 — The mental state of General Pinochet however was still subject to controversy at the time. 2. Second case: «Operation Condor

Operation Condor (case closed on 17 June 2005)

Acts of torture, abductions, forced disappearances and summary executions were committed during the dictatorship.

The elected government which succeeded Pinochet published, on 4 March 1991, an official report listing 3,197 deaths and 967 disappearances during the 17 years of Pinochet’s presidency.

The National Commission on Political Imprisonment and Torture, set up in August 2003, transmitted to President Ricardo Lagos, on 11 November 2004, a report indicating that torture was practised systematically under the Pinochet regime.

More than 200 criminal complaints were filed against Pinochet in Chile by close relatives of the victims. The proceedings, conducted mainly by Judge Juan Guzman Tapia, were based on two events.


First, the abduction of 75 political opponents followed by the summary execution of 56 of them and the disappearance of 19 others:

these acts were committed by a military unit known by the name of the “Caravan of Death” which criss-crossed the country in the months following the coup d’état.

The second event related to the so-called “Operation Condor”, a quasi network of all the Secret Services of the South-American dictatorships (Argentina, Bolivia, Brazil, Chile, Paraguay and Uruguay) whose purpose was to eliminate political opponents abroad.


The Chilean Secret Service (the DINA), under the command of Manuel Contreras, a close ally of Pinochet, was thought to have played an important, if not fundamental, role in promoting this project.


Manuel Contreras was judged and convicted in Chile. It was during his trial in 1997 that Pinochet’s responsibility as the real head of the DINA became apparent.

READ MORE : Augusto Pinochet-Ugarte - TRIAL International


https://www.latinamericanstudies.org › ...
Operation Condor - LatinAmericanStudies.org

Operation Condor was an intelligence organization in which multinational teams tracked down dissidents outside their home countries, captured and

MATUKIO YA UTEKAJI NA KUTUPWA PORINI TANZANIA, KESI YA KISUTU
1762217286441.jpeg



1762217242716.jpeg



1762217204385.jpeg
 
Mo mwenyewe anamshangaa.
 

Attachments

  • IMG_20251104_035141.jpg
    IMG_20251104_035141.jpg
    65.2 KB · Views: 22
Hii hapana kufa watu wote hao kisa mtu mmoja tu awe, raisi ?. Hii jamani haijakaa vizuri!!
 
Watz tusirudi kule kwa zamani. Kwamba tutapiga kelele siku kadhaa na tutasahau. Inatakiwa polisi wawe busy kweli kweli, si wameyataka wao?? Polisi wawe busy kama wenzao wa Somalia, Sudan, Nigeria n.k.

Wakuu, kwani Polisi na Ccm si kuna ambao tunaishi nao mtaani??
Familia zao si zinajulikana?? Pilisi wanakaa na silaha nyumbani??

Come on!!! Kimya kimya
 
Hali ya uhalifu uliotokea kwenye yale maandamano na amri ya watu waingie ndani ikifika saa 12 ni heri mtu uwe ndani ikifika huo muda hawa watu kwa sasa wameweka utu pembeni na kila mtu awe makini sana kipindi hiki.
Kuna mtu kauawa akiwi ndani ya nyumba yake na kuna wengine wameuawa wakiwa wanaenda madukuni kununua chakula cha wototo
 
Watz tusirudi kule kwa zamani. Kwamba tutapiga kelele siku kadhaa na tutasahau. Inatakiwa polisi wawe busy kweli kweli, si wameyataka wao?? Polisi wawe busy kama wenzao wa Somalia, Sudan, Nigeria n.k.

Wakuu, kwani Polisi na Ccm si kuna ambao tunaishi nao mtaani??
Familia zao si zinajulikana?? Pilisi wanakaa na silaha nyumbani??

Come on!!! Kimya kimya
Utasahau kama hujaona hizo video
Utasahau kama hujaona uonevu
Utasahau kama hujapoteza mtu unayemfahamu
 
Kuna mtu kauawa akiwi ndani ya nyumba yake na kuna wengine wameuawa wakiwa wanaenda madukuni kununua chakula cha wototo
Iko wazi waliokufa wengine wengi hawakua na hatia wala hawakushiriki maandamano
 
13 November 2025

Bob Njagi | Nicholas Oyoo | 38 Days​

Waliokuwa kizuizini na kuachiwa baada ya zaidi ya siku 30 katika kambi ya kijeshi ya UPDF SF


View: https://m.youtube.com/watch?v=yKivdin9ceg
waelezea kuhusu jeshi la ulinzi la Uganda jeshi la ulinzi la wananchi wa Uganda vikosi maalum UPDF SF (Special Forces,)lilivyoshiriki kugandamiza maandamano ya GenZ nchi Kenya na ya hivi majuzi nchini Tanzania ya tarehe 29 October 2025 hadi 04 November 2025....
 
Back
Top Bottom