Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Yani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.
Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote hile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa
Hawa lazima familia zao tuanze kuzitazama kwa JICHO la kipekeePolisi na ccm tunaishi nao mtaani.
Kimya kimya
duh ! noma hii ndio ilivyokuwa mkikutwa watu mmesimama watu watatu au zaidi hawaulizi wanakuua wakiwa hvyo na gari ambazo si za serikali kama hapo wapo na pkpk na hawa jamaa walikuwa wanafanya kazi kuanzia saa 1 usikuYani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.
Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote hile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa
Hakuna polisi aliyekodiwa. Mauaji yamefanywa na polisi wetu.duh ! noma hii ndio ilivyokuwa mkikutwa watu mmesimama watu watatu au zaidi hawaulizi wanakuua wakiwa hvyo na gari ambazo si za serikali kama hapo wapo na pkpk na hawa jamaa walikuwa wanafanya kazi kuanzia saa 1 usiku
swali la kujiuliza kwann waliokuwa wanauwa usiku hawakuwa kwenye gari za vyombo vya ulinzi tulivyovizoea je HOJA YA WAUHAJI WA KUKODI ina mantiki
mana kama hapo hao jamaa kama wangeiona ni LANDI CRUISER(DIFENDA) ya POLISI walozoea au wangeondoka kbla haijafika na ukicheck hapo unaona kabisa ni kama ambush na namna walivyokuja na PKPK hawakuwaza kabisa kama ni hao wahuaji
unaweza kulaumu wanafanya nini USIKU ila kma ulikuwa hauna chakura na umesikia duka lipo mtaa wa pili utanielewa vinzuri tu
kumbuka vijana wengi wanaishi Singo kisela hata vyombo vya kupikia hana achilia mbali hilo jiko la gesi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣49K views · 1.7K reactions | Dear Fighters Gen-Z & Millennials ambao tumewapoteza tukiwa kwenye mapambano ya kupigania Taifa letu. Nyinyi ni Mashujaa wetu, nyinyi ni fahari yetu mmepigana vita kwa machozi, jasho na damu. Tanganyika itawakumbuka D
Dear Fighters Gen-Z & Millennials ambao tumewapoteza tukiwa kwenye mapambano ya kupigania Taifa letu. Nyinyi ni Mashujaa wetu, nyinyi ni fahari yetu mmepigana vita kwa machozi, jasho na damu....www.facebook.com
Kinachokufurahisha ni kipi mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣