Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

Nimeogopa sana, tembo ana akili anajua hadi kuvunja uti wa mgongo!

Halafu kuna mwingine alikuwa juu kule, naona tembo alikuwa anachapwa ili akae katika position nzuri ya kutwikwa mzigo na aliyeko juu.
Kuna huyo mjinga aliyekuja kukabiliana na tembo naye sijui kama alipona.
 
Habibu hanga alikuwa anakutesa kama huyu tembo nawewe ungemkanyaga nifa.
 
Nimeogopa sana, tembo ana akili anajua hadi kuvunja uti wa mgongo!

Halafu kuna mwingine alikuwa juu kule, naona tembo alikuwa anachapwa ili akae katika position nzuri ya kutwikwa mzigo na aliyeko juu.
Kuna huyo mjinga aliyekuja kukabiliana na tembo naye sijui kama alipona.
Dah,inasikitisha aisee
 
Mbona na wewe unaniuliza na hujaniunga bando.
Nimekuuliza aelezee nini? nikatoa na maelezo ya tembo kachoka kupigwa.
Sijaona sababu ya wewe kupanic
Kafanyaje sasa mboni hakuna muendelezo hapo? Hujaniunga Bando unajua tusisumbuane hapa
 
Back
Top Bottom