Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

Nimeogopa sana, tembo ana akili anajua hadi kuvunja uti wa mgongo!

Halafu kuna mwingine alikuwa juu kule, naona tembo alikuwa anachapwa ili akae katika position nzuri ya kutwikwa mzigo na aliyeko juu.
Kuna huyo mjinga aliyekuja kukabiliana na tembo naye sijui kama alipona.
HUYO MBONA KATUMIA BUSARA ZA MAMA SAMIA .USIJE KUKUTANA NA WALE PORINI WATAKUKANYAGA NA KISHA KUCHUKUA MAGOGO KUKUFUNIKIA WAKIONA GOGO LIMEANGUKA WANATOA WANAANZA KURUDIA UPYA KUKUKANYAGA YANI WAKIJA WATU KUKUTOA WANAJUA UMEKANYAGWA NA LILE LA KUKANDIA BARABARA
 
Thailand wanaadhibu sana tembo na kuwafundisha wanavotaka(domestication). Kwa ajili ya utalii na wazungu wengi sasa hivi wameamua kutotembelea sehemu za tembo sababu ya unyanyasaji na kuwatumikisha.
 
In an unfortunate incident in Kerala, a mahout (elephant tra ..

Read more at:
 
Mmmh kweli mnyama ni mnyama, hata ukimzoea vipi kunasiku anaweza akubadilikie. Huyo mwamba hapo wakimkagua vizuri unakutana na 💩
 
Back
Top Bottom