Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

Haya, huyo ni tembo wa kihindi😄 nasubiri comment flani hivi "angekua tembo wa serengeti angemtafuna na kummeza huyo mhindi" 😄
 
Haya, huyo ni tembo wa kihindi😄 nasubiri comment flani hivi "angekua tembo wa serengeti angemtafuna na kummeza huyo mhindi" 😄
Tembo wa serengeti ni magiant haswaa kuliko hawa wa India.

Na wana mapembe makubwa kweliii, akikuchomeka moja unabehua utumbo.

Unaanzaje kufuga dude la vile kama sio kutafuta kutolewa uharo!
 
He has been PINNED DOWN like a small cockroach.

A very powerful elephant indeed.

Amebananishwa kwenye udongo kweli kweli hajapata hata nafasi ya kutoa ushuzi japo kidogo.

This is FANTASTIC! A very great show!

Cc: cocastic
 
Katika kila unachomfanyia mtu kwa nia mbaya au nzuri kumbuka kuna kesho yake na yako pia. Tembo kachoka anahisi anahitaji kuwa porini na wenzake akaendelee ku enjoy maisha yake ya kawaida.

Tusiishi kimazoea kwa kuhisi tunayajua sana maisha na vitu vyake. Dunia ipo kutushangaza
 
Back
Top Bottom