Inasikitisha sana kwakweli,hakuna anaependa hali hii Mkuu,kumbuka hali ikiwa siyo shwari Kenya hata sisi tunapata shida vilevile,fikiria hali isingekuwa shwari,Tundu Lissu leo hii asingekuwa Nairobi Hospital kwa matibabu tena ya Uhakika.may God Protect Kenya na watu wake.AmenDah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Sasa kwa nini asitumie Mahakam hiyo hiyo kuzuia uchaguzi badala ya kucreate sintofahamu yote hii?Akijua wazi wapu hawezi shinda?? Nani amekuambia hawezi?
mahakama ilisema hakuna mfanyakazi wa iebc mwenye hatia....... kwaio anachofanya ni kuvurugavuruga ili apate nusu mkate..........Sasa kwa nini asitumie Mahakam hiyo hiyo kuzuia uchaguzi badala ya kucreate sintofahamu yote hii?
Huyu Mzee anaboa sana kwakweli,yani ananiudhi hata haeleweki anataka nini.Ukiangalia kwa undani,msingi wa tension iliyopo sasa hivi kenya chanzo ni Raila na uroho wake wa madarakamahakama ilisema hakuna mfanyakazi wa iebc mwenye hatia....... kwaio anachofanya ni kuvurugavuruga ili apate nusu mkate..........
unafikiria jubilee supporters wake ni central na rift.am from taveta na tumechoshwa na huyu jamaaThe Polling stations which will be reduced into ashes includes those in Coast, GARISSA, MANDERA, Western & Ukambani ...wanafiki CENTRAL & RIFT VALLEY they will vote as usual.
***wale waangalizi wa AU, EAC watakuja tena kutoa ripoti "uchwara"?
hehehe,he created kibraRaila has strong support in only two areas where people have also died due to demos, namely Kibra a slum suburb of Nairobi created by Mzee wa Kitendawili during his 20 year of Member of parliament for the area and Nyanza his place of origin. The rest of the country is peaceful.
Mungu atawasaidia na kuwa epusha na hatari na kenya haita anguka kwa ajili ya mjinga mmoja. poleni sana jirani zetuDah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Kenya kama Kenya ikianguka atapona nani Africa Mashariki? Kuna tofauti ya kenya kuangika na kuteleza .Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
The Polling stations which will be reduced into ashes includes those in Coast, GARISSA, MANDERA, Western & Ukambani ...wanafiki CENTRAL & RIFT VALLEY they will vote as usual.
***wale waangalizi wa AU, EAC watakuja tena kutoa ripoti "uchwara"?
Usipanic bro, amini hakuna MTZ mwenye akili timamu anaeweza support machafuko Kenya sisi huwa tunataniana kwenye mambo mengi hata huu mjadala wa reli tumetoana nishai chief hatuwezi shangilia umwagaji damu huko [HASHTAG]#mk254[/HASHTAG] by the way napapenda mombasaniDah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
MK254 na Sammuel999 naomba mnisaidie ni nini hasa kimewazuia NASA wasiende mahakamani kuizuia iebc isiandae uchaguzi???..........
kwann hizo reforms waliitumie mahakama kulazimisha tume itii? kwann maandamano? hakuna option nyingine zaid ya kuandamana??? hawana imani na mahakama tena??.... hebu wakenya tusaidieni
ako wapi sammuel999 ajibu swali hiliSasa kwa nini asitumie Mahakam hiyo hiyo kuzuia uchaguzi badala ya kucreate sintofahamu yote hii?
Evidence for your claims please.Mnaongea nikama sio nyinyi mumekuwa mkinyima wajaluo na wasomali IDs
Sio nyinyi mumekuwa mkitumia ma chief kununua IDs za watu maskini malindi na western!!...aargh!!!
Population growth western Kenya is double Central
There are 13mn Luhyas
There are 9mn Luos
6mn kisiis
About 1.2mn masais
Hatujaenda wamijikenda, wakamba, wataita ambao wana occupy eastern na coast provinces !!!....central juzi tumeona chokora underage na IDs what are you saying demography..when news has it that population is declining in central
Ndugu dong yi
Ni ukweli usiopingika kwamba rais Uhuru ana mapungufu, lakini pia ni ukweli mtupu kwamba Raila Odinga ni mnafiki na mzandiki wa kutupwa.
Swali lako hilo Raila hawezi kulijibu bila kumumunya maneno, maana anajua siku zote umwagikaji wa damu ndio mtaji wake, tangu alipojaribu mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 1982. Ikumbukwe leo hii afueni yetu ni kwamba hajapata nafasi ya kutumia 'Kalenjin youths' maana hao ndio walifaya mauaji makubwa ili akapata fursa ya kuwa waziri mkuu 2008.
Leo hii ameishia kutumia vijana wake wa Kijaluo maeneo machache ili wafe ndio asikilizwe, maana wakati vifo vikitokea vinaleta hisia na pia mataifa ya kigeni yanaingilia kati na kuomba apewe anachokitaka. Nina uhakika hawezi na hataki kabisa muafaka upatikane utakaohusu upigaji wa kura maana uhakika wa kushindwa upo, hivyo nia yake ni yafanyike mazungumzo ya kumpa madaraka la sivyo nchi iangamie.
Nina furaha maana Wakenya wengi hilo wameshalijua, na hizi fujo zinafanywa maeneo tu ya watu wake na sio Kenya yote. Leo hii Ukambani kule kwa naibu wake hakujawa na matatizo yoyote. Inabidi ukweli usemwe ili tuwe wapenzi wa Mungu.
Kenya haiwezi kutulia kama kila siku Wakikuyu mnalazimisha kutawala. Mnawasha moto wenyewe wala msimtafute mchawi. Msidhani kuwa makabila mengine yanafurahi kulazimishwa kwa gharama yoyote kutawaliwa na Wakikuyu.
Unamtuhumu Raila kwa umwagikaji wa damu wakati Uhuru pia ni muuaji ila ukabila wako unakupa upofu. Unajua dhahiri kuwa Uhuru aliwadhamini Mungiki 2007 kufanya mauaji makubwa lakini unajitia wehu kuukataa ukweli.
Pole kwenu Wasapere, hakuna Kenya imara bila watu wa makabila mengine kupata nafasi ya kuongoza pia.
Sasa wewe ukikimbilia Tz nitahakikisha unarudishwa huko huko mara moja. Labda ukimbilie Sudan Kusini, huko ndio kunakufaa.Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.