Video: Thousands of Police being Transported to Nyanza Kericho Kisumu highway

Video: Thousands of Police being Transported to Nyanza Kericho Kisumu highway

Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Inasikitisha sana kwakweli,hakuna anaependa hali hii Mkuu,kumbuka hali ikiwa siyo shwari Kenya hata sisi tunapata shida vilevile,fikiria hali isingekuwa shwari,Tundu Lissu leo hii asingekuwa Nairobi Hospital kwa matibabu tena ya Uhakika.may God Protect Kenya na watu wake.Amen
 
Sasa kwa nini asitumie Mahakam hiyo hiyo kuzuia uchaguzi badala ya kucreate sintofahamu yote hii?
mahakama ilisema hakuna mfanyakazi wa iebc mwenye hatia....... kwaio anachofanya ni kuvurugavuruga ili apate nusu mkate..........
 
mahakama ilisema hakuna mfanyakazi wa iebc mwenye hatia....... kwaio anachofanya ni kuvurugavuruga ili apate nusu mkate..........
Huyu Mzee anaboa sana kwakweli,yani ananiudhi hata haeleweki anataka nini.Ukiangalia kwa undani,msingi wa tension iliyopo sasa hivi kenya chanzo ni Raila na uroho wake wa madaraka
 
I'm surprised by just how blind people choose to be.

One,Calling on people to riot and loot in the name of reforms will always be met by the full force of the security apparatus. not just in Kenya but all over the world.

second, an election is a national event created by the constitution where the governed speak to choose their leaders through secret ballot. so when i hear people chanting slogans against the carying out of elections, i wonder what they base their claim on, yet this is a constitutional process that must take place every five years.

third, you will notice that there is a particular county where hooligans went as far as vandalising property of IEBC to prevent the training of election officials from taking place, yet they themselves cite lack of preparation by the body.

finally, if a particular candidate has already withdrawn from the elections, what business does he have in the process???
 
The Polling stations which will be reduced into ashes includes those in Coast, GARISSA, MANDERA, Western & Ukambani ...wanafiki CENTRAL & RIFT VALLEY they will vote as usual.
***wale waangalizi wa AU, EAC watakuja tena kutoa ripoti "uchwara"?
unafikiria jubilee supporters wake ni central na rift.am from taveta na tumechoshwa na huyu jamaa
 
Raila has strong support in only two areas where people have also died due to demos, namely Kibra a slum suburb of Nairobi created by Mzee wa Kitendawili during his 20 year of Member of parliament for the area and Nyanza his place of origin. The rest of the country is peaceful.
hehehe,he created kibra
 
This man called raila anaharibu nchi ya kenya kwani akiwa raisi ndio hatakufa ama ?
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Mungu atawasaidia na kuwa epusha na hatari na kenya haita anguka kwa ajili ya mjinga mmoja. poleni sana jirani zetu
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Kenya kama Kenya ikianguka atapona nani Africa Mashariki? Kuna tofauti ya kenya kuangika na kuteleza .
 
Huu ndio upumbavu unaitwa demokrasia , afrika turudi kwenye njia zetu za ujima tuache kutazamishwa juani
 
Jirani yako akinyolewa ......wewe tia maji nywele zako. Tulidhani demokrasia imeiva Kenya kumbe mambo ni yale yale kwa nchi zetu za kiafrika. Tunaapa kuilinda katiba na sisi wenyewe ndio wa kwanza kutokuifuata katiba yenyewe! Mungu aturehemu.
 
The Polling stations which will be reduced into ashes includes those in Coast, GARISSA, MANDERA, Western & Ukambani ...wanafiki CENTRAL & RIFT VALLEY they will vote as usual.
***wale waangalizi wa AU, EAC watakuja tena kutoa ripoti "uchwara"?

This will happen only in Kisumu, Homa Bay and the likes in Luo Nyasa.

Obvious there will be some problems in Nairobi and Mombasa as well but election is unstoppable. In North Eastern, Ukambani and even in Western at the end of the day peace will prevail.
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Usipanic bro, amini hakuna MTZ mwenye akili timamu anaeweza support machafuko Kenya sisi huwa tunataniana kwenye mambo mengi hata huu mjadala wa reli tumetoana nishai chief hatuwezi shangilia umwagaji damu huko [HASHTAG]#mk254[/HASHTAG] by the way napapenda mombasani
 
MK254 na Sammuel999 naomba mnisaidie ni nini hasa kimewazuia NASA wasiende mahakamani kuizuia iebc isiandae uchaguzi???..........

kwann hizo reforms waliitumie mahakama kulazimisha tume itii? kwann maandamano? hakuna option nyingine zaid ya kuandamana??? hawana imani na mahakama tena??.... hebu wakenya tusaidieni

Ndugu dong yi
Ni ukweli usiopingika kwamba rais Uhuru ana mapungufu, lakini pia ni ukweli mtupu kwamba Raila Odinga ni mnafiki na mzandiki wa kutupwa.

Swali lako hilo Raila hawezi kulijibu bila kumumunya maneno, maana anajua siku zote umwagikaji wa damu ndio mtaji wake, tangu alipojaribu mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 1982. Ikumbukwe leo hii afueni yetu ni kwamba hajapata nafasi ya kutumia 'Kalenjin youths' maana hao ndio walifaya mauaji makubwa ili akapata fursa ya kuwa waziri mkuu 2008.

Leo hii ameishia kutumia vijana wake wa Kijaluo maeneo machache ili wafe ndio asikilizwe, maana wakati vifo vikitokea vinaleta hisia na pia mataifa ya kigeni yanaingilia kati na kuomba apewe anachokitaka. Nina uhakika hawezi na hataki kabisa muafaka upatikane utakaohusu upigaji wa kura maana uhakika wa kushindwa upo, hivyo nia yake ni yafanyike mazungumzo ya kumpa madaraka la sivyo nchi iangamie.

Nina furaha maana Wakenya wengi hilo wameshalijua, na hizi fujo zinafanywa maeneo tu ya watu wake na sio Kenya yote. Leo hii Ukambani kule kwa naibu wake hakujawa na matatizo yoyote. Inabidi ukweli usemwe ili tuwe wapenzi wa Mungu.
 
Mnaongea nikama sio nyinyi mumekuwa mkinyima wajaluo na wasomali IDs

Sio nyinyi mumekuwa mkitumia ma chief kununua IDs za watu maskini malindi na western!!...aargh!!!

Population growth western Kenya is double Central

There are 13mn Luhyas
There are 9mn Luos
6mn kisiis
About 1.2mn masais
Hatujaenda wamijikenda, wakamba, wataita ambao wana occupy eastern na coast provinces !!!....central juzi tumeona chokora underage na IDs what are you saying demography..when news has it that population is declining in central
Evidence for your claims please.
 
Ndugu dong yi
Ni ukweli usiopingika kwamba rais Uhuru ana mapungufu, lakini pia ni ukweli mtupu kwamba Raila Odinga ni mnafiki na mzandiki wa kutupwa.

Swali lako hilo Raila hawezi kulijibu bila kumumunya maneno, maana anajua siku zote umwagikaji wa damu ndio mtaji wake, tangu alipojaribu mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 1982. Ikumbukwe leo hii afueni yetu ni kwamba hajapata nafasi ya kutumia 'Kalenjin youths' maana hao ndio walifaya mauaji makubwa ili akapata fursa ya kuwa waziri mkuu 2008.

Leo hii ameishia kutumia vijana wake wa Kijaluo maeneo machache ili wafe ndio asikilizwe, maana wakati vifo vikitokea vinaleta hisia na pia mataifa ya kigeni yanaingilia kati na kuomba apewe anachokitaka. Nina uhakika hawezi na hataki kabisa muafaka upatikane utakaohusu upigaji wa kura maana uhakika wa kushindwa upo, hivyo nia yake ni yafanyike mazungumzo ya kumpa madaraka la sivyo nchi iangamie.

Nina furaha maana Wakenya wengi hilo wameshalijua, na hizi fujo zinafanywa maeneo tu ya watu wake na sio Kenya yote. Leo hii Ukambani kule kwa naibu wake hakujawa na matatizo yoyote. Inabidi ukweli usemwe ili tuwe wapenzi wa Mungu.

Kenya haiwezi kutulia kama kila siku Wakikuyu mnalazimisha kutawala. Mnawasha moto wenyewe wala msimtafute mchawi. Msidhani kuwa makabila mengine yanafurahi kulazimishwa kwa gharama yoyote kutawaliwa na Wakikuyu.

Unamtuhumu Raila kwa umwagikaji wa damu wakati Uhuru pia ni muuaji ila ukabila wako unakupa upofu. Unajua dhahiri kuwa Uhuru aliwadhamini Mungiki 2007 kufanya mauaji makubwa lakini unajitia wehu kuukataa ukweli.

Pole kwenu Wasapere, hakuna Kenya imara bila watu wa makabila mengine kupata nafasi ya kuongoza pia.
 
Mara nyingi huwa nakupuuza maana huwa haupo tayari kujadili mada yoyote, huwa unarusha majibu bila kutumia akili au walau kujaribu kutafakari na kudhihirisha uwezo wako wa kufikiria ipasavyo. Ukiokoteza maneno maneno ya kwenye blogs za chuki huko nje huwa unaziweka humu bila mwenyewe kuongeza uwezo wako wa kufikiri.

Inafaa ikuingie hamna jinsi kabila moja au mbili zinaweza kuongoza Kenya, kwa mujibu wa katiba mpya lazima ushinde kwa kushawishi nchi kwa mapana na marefu. Leo hii chama cha rais Uhuru kinaongoza kwa idadi ya wabunge, maseneta, magavana, na hata MCAs ambao zamani waliitwa madiwani.

Ili ushinde kwenye nyathifa zote hizo lazima upate uungwaji mkono maeneo mengi sana ya nchi, makabila mengi lazima yakubaliane na sera zako. Hii hapa orodha ya baadhi ya Gatuzi alizonyakua rais Uhuru nje ya mkoa wa kati GARISSA,MANDERA,WAJIR kwa Wasomali, KAJIADO, NAROK kwa Wamaasai, Pwani pia amenyakua KWALE, LAMU na pia usisahau NAIROBI amefunika, orodha ni ndefu.

Hii ramani hapa chini labda itapanua uelewa wako ili uwache kulishwa chuki za blogs

DG9vf_jXoAA3ORG.jpg
 
Dah! Hii hatari kwa kweli, haya Kenya kinaelekea kuiva, njooni wale huwa mnashabikia na kuomba Kenya ianguke, fursa yenu ya kupata raha ndio hii hapa.
Sasa wewe ukikimbilia Tz nitahakikisha unarudishwa huko huko mara moja. Labda ukimbilie Sudan Kusini, huko ndio kunakufaa.
 
Back
Top Bottom