Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
 
Mambo ya Kijinga sana, TFF na Bodi ya Ligi inapaswa kuondoka yote, Unaahirisha mchezo kwa sababu ipi ya msingi? Gharama za mchezo na fidia inakuwaje? Boashara utd na JKT Queens kwanini michezo haikuahirishwa na kupangiwa siku nyingine badala yake mkawaonea kuwakata alama??
 
Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Yanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.

Nyie mmegoma endeleeni na mgomo wenu sisi tumeamua kwenda uwanjani kwani leo tuna mechi. Uwanja ule unalipiwa na Yanga sababu ndiye mwenyeji.
 
Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Professional wapi wakati barua hawajapata? Yanga ni taasisi na inaofisi, haifanyi kazi kupitia Instagram. Hiyo ndiyo Professionalism hizo Instagram labda kama ni ofisi ya Mwijaku na Baba levo.
 
Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Kipo kitu jana walifanya,kiasi wakawa tayar kwa kulipia ghasia zao. Leo sharti wakanyage uwanja ulozi upon.
 
Back
Top Bottom