Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakati wa kuruhusu wanazuia ila wakat wa kuzuia wanaruhusuWameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Sahihi kabisa. Ule mwiko kule nyuma unawafanya wafanye mambo kinyumenyume. Hapo wanatengeneza picha ili watapeli watu viingilio vyao.Wakati wa kuruhusu wanazuia ila wakat wa kuzuia wanaruhusu
Yanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Professional wapi wakati barua hawajapata? Yanga ni taasisi na inaofisi, haifanyi kazi kupitia Instagram. Hiyo ndiyo Professionalism hizo Instagram labda kama ni ofisi ya Mwijaku na Baba levo.Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Umewapa barua ya kuahirisha?Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Kipo kitu jana walifanya,kiasi wakawa tayar kwa kulipia ghasia zao. Leo sharti wakanyage uwanja ulozi upon.Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Visingizio tu!Umewapa barua ya kuahirisha?