Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
Ndugu, ukikomaa na mtazamo huu ulionao utakufa na ugunduzi wako kabatini. You have to share.Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na kuboresha mawazo yao.
Taifa hili linaweza fika Mbali sana kwa tekinolojia ya ndani..
View: https://youtu.be/TDzPNLhFzyU?si=d7z1xpXb2-a1aDg6
VIDEO: Blind torch design by transistor 2014
Ila ukiwa mbunifu wa vitu ambavyo wao hawavijui au kuzoea,ukibisha Milango ya ofisi zao wenye dhamana na wakaiona project yako wanakutafrisi kama ni kijana mtundu na sio Mbunifu na watakupuuza.
Transistor
Iko hivi,kuna Baadhi ya vifaa kuvi-commercialise vinahitaji approvement ya hao hao....Ndugu, ukikomaa na mtazamo huu ulionao utakufa na ugunduzi wako kabatini. You have to share.
Pia angalia zaidi namna ya ku-commercialize ugunduzi wako (jinsi gani ugunduzi wako itakuwa biashara) hapo ndipo utaweza kuuza.
Ndiyo mzeeNingekuwa Rais wa hii nchi, hakika watafiti, wabunifu na wagunduzi mngeishi maisha mazuri sana. Maana ningetengea fungu la kutosha la bajeti kwa ajili yenu tu.
YANAYOKUPATA WEWE,MIMI KILA MWAKA YANANIPATA.Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na kuboresha mawazo yao.