VIDEO:TOCH ya kipofu nili-idesign zaidi ya miaka 10 nyuma , mfumo kama huo ulio boreshwa na Elon Musk leo ukionekana ni kitu cha kimapinduzi.

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na kuboresha mawazo yao.

Taifa hili linaweza fika Mbali sana kwa tekinolojia ya ndani..

View: https://youtu.be/TDzPNLhFzyU?si=d7z1xpXb2-a1aDg6

VIDEO: Blind torch design by transistor 2014

Ila ukiwa mbunifu wa vitu ambavyo wao hawavijui au kuzoea,ukibisha Milango ya ofisi zao wenye dhamana na wakaiona project yako wanakutafrisi kama ni kijana mtundu na sio Mbunifu na watakupuuza.

Ndugu, ukikomaa na mtazamo huu ulionao utakufa na ugunduzi wako kabatini. You have to share.
Pia angalia zaidi namna ya ku-commercialize ugunduzi wako (jinsi gani ugunduzi wako itakuwa biashara) hapo ndipo utaweza kuuza.
 
Iko hivi,kuna Baadhi ya vifaa kuvi-commercialise vinahitaji approvement ya hao hao....

So kuna ubunifu ukiona unaweza upeleka sokoni bila usumbufu unaupeleka...ukiona huu wadau wanaleta taratibu ngumu na unaona watakusumbua unauacha kabatini.
 
Ningekuwa Rais wa hii nchi, hakika watafiti, wabunifu na wagunduzi mngeishi maisha mazuri sana. Maana ningetengea fungu la kutosha la bajeti kwa ajili yenu tu.
 
Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na kuboresha mawazo yao.

Taifa hili linaweza fika Mbali sana kwa tekinolojia ya ndani..

View: https://youtu.be/TDzPNLhFzyU?si=d7z1xpXb2-a1aDg6

VIDEO: Blind torch design by transistor 2014

Ila ukiwa mbunifu wa vitu ambavyo wao hawavijui au kuzoea,ukibisha Milango ya ofisi zao wenye dhamana na wakaiona project yako wanakutafrisi kama ni kijana mtundu na sio Mbunifu na watakupuuza.

Transistor

YANAYOKUPATA WEWE,MIMI KILA MWAKA YANANIPATA.
 
Back
Top Bottom