Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

Status
Not open for further replies.
Kukurupuka kwigi tatizo, huo umeme wa kuwashia majumba tu unasuasua halafu upatikane wa kuendesha treni, imagine safari zikianza inabidi muwe na ratiba ya treni hata kama hamsafiri ili ujue mda gani hakutakuwa na umeme nyumbani mpaka treni ifike.
 
TUSIWE NEGATIVE SANA kama imepata changamoto itatatuliwa hakuna shida hapo. Changamoto kitu cha kawaida, na mwanzo ni mgumu karibu kwa kila kitu. Baadhi yenu mlisema Bwawa la Nyerere ni WHITE ELEPHANT ama mnataka kusema kitu chochote atakachoanzisha mwafrika ni White Elephant??
Swala sio project yenyewe, Project tunaipenda na tunaiunga mkono, ila utekelezaji ndiyo unasikitisha. Kaangalie Sgr za umeme za China alafu linganisha na huo mkweche tulioletewa. Unajiuliza nani aliyepitisha na kukubali hayo matreni mabovu yanunuliwe?
 
Ila wabongo haki mmechoka aisee. Kila anaye comment ni povu tu la negative. Dah! Serekali angalieni hili swala. Wananchi wanachuki sana na serekali ni vile tu hamtaki kufungua masikio msikie.

Kwani hizi mambo zilishaanza safari commercial? Inawezekana zipo kwenye majaribio jamani. Panapo majaribio treni inaweza kusimama popote jamani. Kwann mnawaza limebuma?

Lakini pia Inawezekana kuna changamoto na ndio maana ya majaribio ili kabla ya kuanza safari officially hizi changamoto zote ziwe zimetatuliwa

Pamoja na yote, serekali kaeni kwa kutulia sana, wananchi wana sumu nyingi sana mioyoni mwao juu yenu
 
Kama mwendokasi tu umewashinda hata hiyo sgr haitadumu. Kwanza tumeletewa mtumba ambao imetumika miaka kumi huko Korea kusini
Pole pole alishawahi kusema ili tuendelee inabidi tufundishane adabu ,je unajua adabu gani anayozungumzia polepole? Wachina ,wasingapore wameweza ,wahenga wanasema ukicheka na nyani utavuna mabua kwahiyo tusiwachekee "manyani".
 
Sasa kama kuna abiria aliomba kwenda kuchimba dawa
 
Kama mwendokasi tu umewashinda hata hiyo sgr haitadumu. Kwanza tumeletewa mtumba ambao imetumika miaka kumi huko Korea kusini
Miaka kumi kwa injini ya treni ni michache Sana,zile za zamani ni tangu 1970s huko
 
Serikali waachane na biashara ,wafanye PPP ,kazi ya serikali iwe monitoring tu ,wawape private sector kisha wawape profit margin ya kuweza kurun bizness ,kulipa mishahara na faida inayoweza kufanya maintanance na kuwekeza zaidi ila sio Super profit.
Hii ndio njia pekee kwa nchi yetu, kuwapa kina Kadogosa kuendesha hizi projects ni kupoteza fedha za wananchi.
 
Kuanzisha tunaweza lakin utekelezaji ni laana tupu..,
 
It's another white elephant project. Kama nchi hatujawahi kufanya kitu kwa ufanisi tangu tupate uhuru. Angalia mwendokasi tu imewashinda, we plan, design and construct....baada ya hapo wanakuja wataalam wa kuhujumu na kazi inaishia hapo.
Unajua maana ya white elephant project?
 
Swala sio project yenyewe, Project tunaipenda na tunaiunga mkono, ila utekelezaji ndiyo unasikitisha. Kaangalie Sgr za umeme za China alafu linganisha na huo mkweche tulioletewa. Unajiuliza nani aliyepitisha na kukubali hayo matreni mabovu yanunuliwe?
Sgr siyo treni ya umeme Wala yenye umbo la risasi,sgr ni gauge ya relief,china Ina hela,nchi yako fukara,Kodi unakwepa,tozo unapinga,hela za kununua bullet train zitatoka wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom