Ni vizuri kuchua tahadhali , lakini mbona usafiri wa train na bus na serve purpose tofauti?,Ukweli unajulikana. Waswahili wanafanya hujuma ili mabasi ya Sh
Ukweli unajulikana. Waswahili wanafanya hujuma ili mabasi ya viongozi yasikose soko. Esther Bus (Mwigulu - Waziri), Shabiby Bus (Shabibu - Mbunge), Abood Bus (Abood - Mbunge), Musukuma Bus (Musukuma - Mb) n.k.
Viongozi wakubwa pia wana hisa kwenye kampuni hizo zenye zaidi ya mabasi 600 kwa ujumla wake. Wenye akili tunajua ni hujuma.
R.I.P JPM
Mfano: ukipanda train utaweza kushuka dumila?