Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

Status
Not open for further replies.
Ni vizuri kuchua tahadhali , lakini mbona usafiri wa train na bus na serve purpose tofauti?,
Mfano: ukipanda train utaweza kushuka dumila?
 
Pole pole alishawahi kusema ili tuendelee inabidi tufundishane adabu ,je unajua adabu gani anayozungumzia polepole? Wachina ,wasingapore wameweza ,wahenga wanasema ukicheka na nyani utavuna mabua kwahiyo tusiwachekee "manyani".
Wengine hatukulelewa kukalipia - mama

Haya sasa kazi tunayo
 
Hakuna mradi unaoweza kuendeshwa na Serikali halafu ukawa na ufanisi. Serikali imeshindwa mambo yote muhimu, halafu tutegemee itaweza kuendesha SGR?

Hata kama mabasi yote yatazuiwa kufanya biashara, ikaachwa SGR pekee, bado itapata hasara, kama ilivyo kwa ATCL.
 
It's another white elephant project. Kama nchi hatujawahi kufanya kitu kwa ufanisi tangu tupate uhuru. Angalia mwendokasi tu imewashinda, we plan, design and construct....baada ya hapo wanakuja wataalam wa kuhujumu na kazi inaishia hapo.
Bila kuwashika masisiem a.k.a. wazee wa kuhujumu mashirika ya umma na kuwaweka ndani
Hakuna kitu kitafanikiwa ndani ya nchi
 
Mtu kapita tu tena na gari kakuta train
imesimama conclusion tayari imeharibika.

Train ipo kwenye majaribio mtu hujui kama ipo kwenye signal stop testing, break testing ya kubeba mabehewa makubwa or whatever.

Inahitaji ‘leading statement’ tu kwenye kichwa cha habari, asilimia kubwa ya watanzania kwenda na herd thinking.
 
Kwahiyo unajilinganisha na China
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…