Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Unadhani hizo hela za misaada zinatoka kwenye mifuko yao au ni hela zenu wanawaibia?Wazungu maadui zenu bado mnapokea hela zao. Acheni kuchekesha wasiotaka kucheka. Habari za Khashogy achana nazo huna ulijualo zaidi ya kumtumikia huyo mungu mtu wa magogoni.
Aliyataka mwenyewe kivipi??Kabendera ndiyo aliyataka mwenyewe
wanatuibiaje?Unadhani hizo hela za misaada zinatoka kwenye mifuko yao au ni hela zenu wanawaibia?
Kwa kumtukana Rais wa JMT.Aliyataka mwenyewe kivipi??
Alimtukanaje?Kwa kumtukana Rais wa JMT.
Soma comment #144 hapo juu.Alimtukanaje?
Hivi Rais aliposema ana mawaziri wapumbavu alikuwa anatukana??Soma comment #144 hapo juu.
Kuna tofauti ya mjinga na mpumbavu!Hivi Rais aliposema ana mawaziri wapumbavu alikuwa anatukana??
Afadhali yupi kati ya mjinga na mpumbavu!?Kuna tofauti ya mjinga na mpumbavu!
Kasome acha uvivu mkuu! Usiku Mwema!!Afadhali yupi kati ya mjinga na mpumbavu!?
Woga wake tu, mbona watu kibao wanaenda gerezani na wako poa tu. Hata kalasinga Seth saa huu kashazoea itakuwa huyo Kabendera? Hapo sana sana anamfurahisha aliyeagiza awekwe ndani. Yeye ni mwanaume asiwe slack.
Kama ulitaka nikasome kwa nini uliandika hapa JF??Kasome acha uvivu mkuu! Usiku Mwema!!
Huenda!...Sawa lakini, je! Kabendera anajutia matendo yake?
Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kulikuwa na haja gani ya kumteka?, hilo si no swala LA TRA kumpelekea bill ya kodi kabla ya kumshitaki,Wangapi wamesamehewa na kesi zao zilikuwa zinaendelea mahakamani ? Waliandika barua na pesa wakarudisha. Eric pia aliandika barua.
Hujui kuwa maandishi yake ndo yaliwafanya wazee wa kazi wamchunguze na kukuta kumbe analipwa mamilioni ya dola na hayalipii kodi.
Kila jambo hutokea kwa sababu.
Kwaiyo anavuna alichopanda?
Ila kule sio sehemu mzuri maana atakuwa anafikiria mengi anayoyamiss uraiani na kujutia pia.
Dogo ungebahatika kujua nchi ilivyoliwa na inavyoliwa na hao wahuni unaoawaita vjongozi, nadhani ungeandamana uchi,Ninapenda kutumia wasaa huu kumuombea msamaha kijana Erik Kabendera kwa wote wenye mamlaka ya kikatiba na kisheria ambao kwa nanna moja walikwazwa, kujeruhiwa, kutofurahishwa ama kuumizwa na maandiko ya kijana huyu.
Ni kweli Kabendera alikengeuka aidha kwa kushawishika kwa fedha au kwa kutokuwa na taarifa kamili za kumuwezesha kufanya uchambuzi yakinifu na naamini lengo la wenye mamlaka lilikuwa ni kumfungua macho kijana huyu aone upande wa pili wa shilingi.
Natumai atakaporudi uraiani atakuwa amebadilika na kuwa na mtazamo chanya juu ya jitihada zinazofanywa na viongozi na Watanzania wengi wanaokesha wakifanya kazi kuhakikisha changamoto za wananchi zinatatuliwa na taifa letu kupiga hatua mbele.
Viongozi wetu ni watu waliopitia changamoto nyingi na mitihani mingi ya maisha na kuivuka ndio maana tumewaamini na kuwapa nafasi ya kutuvusha sisi kama taifa pale tulipokuwa tumekwama hivyo naamini kama watu wenye busara, huruma na upendo kwa wananchi wote watatafuta muafaka na kulimaliza jambo hili kwa moyo wa upendo ukizingatia kuwa Kabendera ni sawa tu na mtoto wao wa kumzaa.
Si vizuri kuwatuhumu watu, ana kesi ya utakatishaji fedha, tusubir ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app