Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Hivi kuna mkono wa Paskali Mayalla happo eeh ??..Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna mkono wa Paskali Mayalla happo eeh ??..Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alijua ni mgonjwa. Ni kwa nini aanze chokochoka? Angekuwa mpole ili asogeze siku za kuishiJaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa sana anatia huruma. Basi tu
Video sekunde 16
View attachment 1321554
Mpaka leo hatujui ni akina nani waliobeba kwenye mifuko,ila tunajua Tibaijuka tulijua maana alitumia bank.Hao waliochukua kwenye mifuko hakuna traces zao mpaka leo,ila wao wanajijua.Pia Eric alitakiwa kusiwe na trace yeyote inayoonyesha analipwa mamiolioni na the Economist.Kamwe hii kesi ya uhujumu uchumi isingemkuta.Hakuna al iyechukua pesa za escrow kwa kificho, pesa zote ni halali na waliochukua walilipwa pesa halali
MAPITO HAKUNA JANGA LIDUMULOLa huyu kachuma
Alikatwakatwa vipande huko ubalozi wa Saudi Arabia, Istanbul Turkey akawekwa kwenye brief cases na kuodoshwa kuelekea Riyadh Saudi Arabia. Kama nilivyo ona kwa runinga ya CNN. Mchumba wake alibaki nje ya consulate akisubiri masikini ya mungu ! That was the most cruel operation I have ever heard in my entire life 😱 !Huyu jamaa tukiacha unafiki alimtukana sana Magufuli, mbaya alikuwa anatumia gazeti na maadui zetu wazungu... Tena aombe sana Mungu bado yupo hai, anajua Jamal Khashogy alicho fanyiwa baada ya kuichafua nchi yake na kukimbilia Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamuonea pasko jamani. Kabendela ameisnichi nchi acha sheria ichukue mkondo wake alichofanya ni kuhujumu maendeleo. Kama hana kosa sheria itamuachia.Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usipolipa kodi serikali pesa hiyo unaipeleka wapi ? Huko uipelekapo kama kuwekeza au kufanyia jambo lolote ndio kutakatisha fedha. Maana fedha haramu inakua halali kupitia uchochoro ulioipitishia. That is money laundering!Kama wameshachunguza na kujua kosa lake ni kwa nini kila siku wanasema kwamba uchunguzi haujakamilika? Lakini pia kutokulipa kodi siyo kutakatisha pesa kosa analoshitakiwa nalo.
Endelea kuwatetea hao mawakala wa shetani ila kuna siku watakupumulia kisogoniUgaidi ni nini?
Leta mfano mmoja wa ugaidi
Too Sad ila ndo hivyo,kuwasema wenye nguvu kuliko wewe na unawasema vitu ambavyo wapo wrong,hata kama upo right.Jiandae kwa lolote.Alikatwakatwa vipande huko ubalozi wa Saudi Arabia, Istanbul Turkey akawekwa kwenye brief cases na kuodoshwa kuelekea Riyadh Saudi Arabia. Kama nilivyo ona kwa runinga ya CNN. Mchumba wake alibaki nje ya consulate akisubiri masikini ya mungu ! That was the most cruel operation I have ever heard in my entire life 😱 !
Una uhakika na hilo?? Mbona mwanzo walisema wanachunguza uraia wake? Walipogonga mwamba ndipo wakaja na plan B". Watz sio wajinga.Wangapi wamesamehewa na kesi zao zilikuwa zinaendelea mahakamani ? Waliandika barua na pesa wakarudisha. Eric pia aliandika barua.
Hujui kuwa maandishi yake ndo yaliwafanya wazee wa kazi wamchunguze na kukuta kumbe analipwa mamilioni ya dola na hayalipii kodi.
Kila jambo hutokea kwa sababu.
Ndo ujue ,ukiwa unaandika negatives za Magufuli ,hakikisha wewe msafi.Walimkamata na wakamtafutia makosa,bahati mbaya wakamkuta na hilo.Believe me wasingemkuta na kosa wala wasingempeleka mahakamani.Una uhakika na hilo?? Mbona mwanzo walisema wanachunguza uraia wake? Walipogonga mwamba ndipo wakaja na plan B". Watz sio wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambieni Kosa la pascal ni lipi? Kuleta habari za magazeti ya nje hapa jukwaan?
Halafu habari za hilo gazeti zimeletwa na watu wengi tu zaidi ya Member watatu nimewasoma wakinukuu hicho chanzo.
Watanzania tuache unafiki, wakati Mayalla analeta hapa hizo habari mlikuwa mnaunga mkono na kusema huo ndio ukweli wenyewe kuhu Rais Magufuli baada ya kuona jamaa kadakwa mnajifannya kumuonea huruma.
Labda Kosa la Mayalla ni kupita pita kwenye vyombo vya habari vya nje na kutuletea habari humu jamvini kitu ambacho watanzani wengu wavivu hawawezi kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa (P) ni zaidi ya umjuavyo jf hapa!
Labda kwa sababu umemjulia humu na kumsoma humu, lakini haiba yake ya nje huijui vyema!
... unajua ni kipi kilimfanya alete zile makala hapa?!
Je kwa nini baada ya Kabe, kuwekwa ndani aliacha kuleta chochote kuhusu zile makala au hata aseme zimeacha kuandikwa au lolote kuhusu mwenendo wa lile gazeti...!?
Hao wengine walioleta hizo makala hapa ni wamoja tu na P, maana unapaswa utambue hazikutafsiriwa na mtu mmoja kama yeye alivyojinadi!
Niishie hapa...
Wazungu ni "maadui zenu."Huyu jamaa tukiacha unafiki alimtukana sana Magufuli, mbaya alikuwa anatumia gazeti na maadui zetu wazungu... Tena aombe sana Mungu bado yupo hai, anajua Jamal Khashogy alicho fanyiwa baada ya kuichafua nchi yake na kukimbilia Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kusema ukweli limekuwa kosa la jinai si bora sheria ibadilishwe tuJohn Magufuli is bulldozing the opposition and wrecking the economy "
Kwaiyo anavuna alichopanda?
Ila kule sio sehemu mzuri maana atakuwa anafikiria mengi anayoyamiss uraiani na kujutia pia.