Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Rugemalira ndio hataki kabisa kutoka jela, anadai gerezani kumemfanya akili yake imetulia na kupata muda mzuri wa kusoma vitabu.
wa kusujudiwa ni Mola pekee na sio kiumbe kilichozaliwa na mwanamke nacho ufa
 
Jamaa kagoma kumsamehe...hata waliomchongea wanasaidia kumwombea msamaha ila ngoma bado mbichi.

Wao kila Jpili wanaomba msamaha, ila kuwasamehe wenzao hilo suala halipo.
kama tusipowasamehe wanaotuudhi nae Baba wa mbinguni atotusamehee makossa yetu nasi twasali bure
 
Unashindwa kumlea mama nababa ako kwenu huko ,wamechakaa kegete zinawamaliza ,unakuja kuleta upumbavu wako kuhusu mwanaume wakweli...namfananisha LA Rambo au damme wakiwa ktk operation ngumu....kabendera yuko ktk operesheni ngumu yaukombozi wa wa Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamsaidie basi kwenye hiyo operation
 
Hana jipya huyu ,atakoma na ujeuri wake,mbona hadi sasa kuendelea kula cha mahabusu ni rehema za minyazi mungu tu, dawa ya wasaliti ni death sentence pekeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jela hospital ulemavu havina mwenyewe kila mja ni mtarajiwa sawa na kuni mbichi kuicheka kavu
Mwanakuyatafuta mwanayakumkuta
Mchuma janga hula na wakwao
Ukitumwa jiongeze
Za mbayuwayu changanya na zako
 
Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda alishalipwa ujira wake,anakula wine tu huko mtaani.

dodge
Tuambieni Kosa la pascal ni lipi? Kuleta habari za magazeti ya nje hapa jukwaan?

Halafu habari za hilo gazeti zimeletwa na watu wengi tu zaidi ya Member watatu nimewasoma wakinukuu hicho chanzo.

Watanzania tuache unafiki, wakati Mayalla analeta hapa hizo habari mlikuwa mnaunga mkono na kusema huo ndio ukweli wenyewe kuhu Rais Magufuli baada ya kuona jamaa kadakwa mnajifannya kumuonea huruma.

Labda Kosa la Mayalla ni kupita pita kwenye vyombo vya habari vya nje na kutuletea habari humu jamvini kitu ambacho watanzani wengu wavivu hawawezi kufanya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwahiyo unaona sawa kwa anachotendewa?mnataka ukweli usisemwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sawa,hata kama naona hivyo nothing i can do.Yeye ndo aliesababisha maana hakuchanga vizuri karata zake,hayo malipo alitakiwa yalipwe kupitia account nyingine kabisa ambayo yeye asingehusishwa moja kwa moja.Au wangekuwa wanamlipa mkono kwa mkono hapo hakuna ushahidi.
Naamini umenielewa.
Unafikiri wale waliochukua pesa za Escrow kwenye Lumbesa ni wajinga?Walikwepa mambo kama haya.
 
Jaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa sana anatia huruma. Basi tu

Video sekunde 16
View attachment 1321554
Kachakaa! Nini wewe? Ulitaka anyowe kiduku na 'O' cut za urembo akiwa mahabusu? Ngonja akomae!

Huku vijijini tumechakaa kuliko yeye wakati hatuko mahabusu tukitambaa na maisha. sasa yeye unataka awe mrembo eti!
 
Woga wake tu, mbona watu kibao wanaenda gerezani na wako poa tu. Hata kalasinga Seth saa huu kashazoea itakuwa huyo Kabendera? Hapo sana sana anamfurahisha aliyeagiza awekwe ndani. Yeye ni mwanaume asiwe slack.
ajifunze kwa Lissu, Lema, Sugu, Sioi, Kitilya, Sinare n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sawa,hata kama naona hivyo nothing i can do.Yeye ndo aliesababisha maana hakuchanga vizuri karata zake,hayo malipo alitakiwa yalipwe kupitia account nyingine kabisa ambayo yeye asingehusishwa moja kwa moja.Au wangekuwa wanamlipa mkono kwa mkono hapo hakuna ushahidi.
Naamini umenielewa.
Unafikiri wale waliochukua pesa za Escrow kwenye Lumbesa ni wajinga?Walikwepa mambo kama haya.
Hakuna al iyechukua pesa za escrow kwa kificho, pesa zote ni halali na waliochukua walilipwa pesa halali
 
Back
Top Bottom