Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Wangapi wamesamehewa na kesi zao zilikuwa zinaendelea mahakamani ? Waliandika barua na pesa wakarudisha. Eric pia aliandika barua.Kwani anashitakiwa kwa kutakatisha fedha ama kuandika makala dhidi ya Magu? Halafu Magu ana mamlaka ya kusamehe watu ambao kesi zao bado zinaendelea mahakamani?
Hujui kuwa maandishi yake ndo yaliwafanya wazee wa kazi wamchunguze na kukuta kumbe analipwa mamilioni ya dola na hayalipii kodi.
Kila jambo hutokea kwa sababu.