Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Ccm yoyote hujisikia fahar akiona binaadam mwenzake yupo kwenye mattzo.

Sent using tecno tochi
 
Huyu jamaa tukiacha unafiki alimtukana sana Magufuli, mbaya alikuwa anatumia gazeti na maadui zetu wazungu... Tena aombe sana Mungu bado yupo hai, anajua Jamal Khashogy alicho fanyiwa baada ya kuichafua nchi yake na kukimbilia Marekani?



Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu maadui zenu bado mnapokea hela zao. Acheni kuchekesha wasiotaka kucheka. Habari za Khashogy achana nazo huna ulijualo zaidi ya kumtumikia huyo mungu mtu wa magogoni.
 
Alipanda umbea na chuki kwenye gazeti la nje kwa kificho akapata pesa akala na nduguze na familia yake, sasa anavuna matunda ya usariti, nyie ambao hamjatumia pesa ya dhambi mnalialia tu. Kama alijua ukosoaji wake ni halali kwa nini hakuliandikia gazeti la Tanzania daima tungepata na kodi maana watu wangelinunua machapisho yote.
Una Ushahidi na haya unayoyasema hapa Au unabwabwaja tu kwa ushabiki Wa kijinga
 
Kwa
Wakati Mwingine ukisoma kinachoandikwa humu JF unapata mashaka kama wote tuliomo humu tuna akili timamu na tunaishi Tanzania.

Alipanda chuki na Umbea kwa nani na kwa nini unadhani alifanya kwa kificho? Wewe ulitaka fedha alizolipwa ale na ukoo wenu?

Kwa mabeberu juu ya serikari ili watunyime misaada, au hilo hulijui?
 
Kutakatisha
Kama wameshachunguza na kujua kosa lake ni kwa nini kila siku wanasema kwamba uchunguzi haujakamilika? Lakini pia kutokulipa kodi siyo kutakatisha pesa kosa analoshitakiwa nalo.
Kutakatisha pesa mara nyingi, sababu yake ni kukwepa kodi.
 
Ninapenda kutumia wasaa huu kumuombea msamaha kijana Erik Kabendera kwa wote wenye mamlaka ya kikatiba na kisheria ambao kwa nanna moja walikwazwa, kujeruhiwa, kutofurahishwa ama kuumizwa na maandiko ya kijana huyu.
Ni kweli Kabendera alikengeuka aidha kwa kushawishika kwa fedha au kwa kutokuwa na taarifa kamili za kumuwezesha kufanya uchambuzi yakinifu na naamini lengo la wenye mamlaka lilikuwa ni kumfungua macho kijana huyu aone upande wa pili wa shilingi.
Natumai atakaporudi uraiani atakuwa amebadilika na kuwa na mtazamo chanya juu ya jitihada zinazofanywa na viongozi na Watanzania wengi wanaokesha wakifanya kazi kuhakikisha changamoto za wananchi zinatatuliwa na taifa letu kupiga hatua mbele.
Viongozi wetu ni watu waliopitia changamoto nyingi na mitihani mingi ya maisha na kuivuka ndio maana tumewaamini na kuwapa nafasi ya kutuvusha sisi kama taifa pale tulipokuwa tumekwama hivyo naamini kama watu wenye busara, huruma na upendo kwa wananchi wote watatafuta muafaka na kulimaliza jambo hili kwa moyo wa upendo ukizingatia kuwa Kabendera ni sawa tu na mtoto wao wa kumzaa.
Sawa lakini, je! Kabendera anajutia matendo yake?
 
Hakuna anayeeteseka wala aliyeonewa KILA MTU A VUNE ALICHOPANDA, sasa kufuga hiyo mindevu na miwani mikubwa kama comedian ndo tumuonee huruma potelea mbali
Una roho ngumu? Ndio maana tukaubwa binadamu, capable of compassionate and love, unafaidi nini ukiona binadamu mwenzio anateseka? You think u ll live forever? Just IPO ipo siku tutahesabiwa na aliyetuumba, na tusifikili itakuwa ni siku rahisi.
 
Una roho ngumu? Ndio maana tukaubwa binadamu, capable of compassionate and love, unafaidi nini ukiona binadamu mwenzio anateseka? You think u ll live forever? Just IPO ipo siku tutahesabiwa na aliyetuumba, na tusifikili itakuwa ni siku rahisi.
Penye ukweli tuseme ukweli tuu, swala la huruma ipo ndio lakini alipokuwa anaandika makala zake alijua impact zake kwa taifa?je eric alitumia njia njema katika kutoa ushauri wake kwa serikali? Kupenda kutaka umaarufu eti kuikosoa serikali ndo kuna mgharimu , kwani mtu akienda personal kwenye mamlaka husika na kueleza mambo anayoona hayaendi sawa kungekuwa na shida gani? Tusiwe wepesi wakusema Eric kaonewaau tuwe na utu, je pangetokea machafuko kwasababu ya kujifanya mwanaharakati mngeona ni sawa? tusiwe mashabiki wa ujinga tuangali pande zote za shilingi
 
Woga wake tu, mbona watu kibao wanaenda gerezani na wako poa tu. Hata kalasinga Seth saa huu kashazoea itakuwa huyo Kabendera? Hapo sana sana anamfurahisha aliyeagiza awekwe ndani. Yeye ni mwanaume asiwe slack.
Maneno kama msumari. Wenyewe wanasema, "jela sio kifo mwanamme jikaze"
 
Back
Top Bottom