PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.






Your browser is not able to display this video.

Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi.​

Soma Pia:
 
Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto

Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
 
Mene mene Tekeri na Persi
Kuna ule mfumo uliomshindisha uenyekiti dhidi ya Mbowe na kampani ya mwenyekiti wa kijani fc!!

Kuna picha hapa nataka nilione lipoje!

Britannica aliona hii akaandika !!!naona mkwe kamuingiza mwenyekiti kingi tena!!

Mbona comrade nchimbi alitosha kabisa kuchuana na Lisu kwenye open ground!!?
Nchimbi ana sauti ya kimamlaka kama ndio ajaye aiseh!!team lowasa wafutwe machozi ya 2015 japo kinafiki!
 
No comment let's wait Time will tell who is the Winner...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…