PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Basi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Jamani inamaama kuna mtu mwenye akili timamu anafurahia uchaguzi ambao unaambatana na vifo,na matokeo ambayo yanaamuliwa na wale wasio waoiga kura?
 
Hii formula walioyomshauri Mama naona kama wamemdanganya sana.

Au nasema uongo ndugu zangu?
britanica anasema ni yule mkwe waziri wa Tamisemi,Sasa najiuliza waliomshindisha Lisu uenyekiti watakubali waziri aendelee kuwa waziri au mwenyekiti aendekee na uenyekiti!!?

Ushindi wa Lisu ni kete dhidi ya waaarabu na rasilimali za Tanganyika!!

Naendelea kuwaza hapa Kwa kiiiiiiiina kama kawaida yangu!!!

Naongeza

"Mwenyekiti anatafuta Tiba ya ugonjwa usiojulikana ulimwenguni"Gentamicine antibiotique jamvini!!

Nawaza Tena nawaza sitaki uchuro!!
 
Kwa kesi ya uhaini aliyofunguliwa haina dhamana japokua atashinda kesi ila atakua amekaa mahabusu kwa miezi 16
 
Mhe. Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jioni hii.
IMG-20250410-WA0019.jpg

Hapo Mapema leo, Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kupitia Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Marco Chilya limesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu anashikiliwa kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi yenye lengo la kuzuia Uchaguzi.

Jeshi la Polisi limetoa onyo kwa vyama vyote vya siasa na wananchi kwa ujumla kuepuka kauli au matendo yanayoweza kusababisha taharuki na kuharibu amani, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya yeyote atakayekiuka sheria.
 
Back
Top Bottom