ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Ukiwa Unachangia Jitahidi Sana Kutumia Hoja zako kwa Nafsi ya Kwanza Umoja..Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto
Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
Na Nafsi ya kwa Wingi sio Yako ni Yetu sote..Na Inapendeza Usiitumie kwa sababu hujui mawazo yangu