MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Lissu aliongea kauli hatari sana kwa usalama wa nchi. Kuzuia uchaguzi na kukinukisha ni kauli za hovyo. Cha muhimu hapo serikali iandae mashahidi 60 ambao kwa mwaka watasikilizwa watatu tu... akifikiwa shahidi wa 25, DPP aseme hana nia ya kuendelea na kesi.. atakuwa kashajifunza.