PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu(CHADEMA) ni mpango wa Mungu, Sisiem ni mpango wa shetani
Kwann umeamua kuendelea kuwa chini ya utawala wa shetani tangu siku ya kwanza yako kuzaliwa? amua sasa kuondoka na kwenda kwenye nchi ambayo inaongozwa na chama cha mpango wa Mungu.
 
The Chairman is alive and smiled all the way up to court room. 😁

Imekwisha sasa, ni kazi sasa ya Mwendesha Mashtaka kuthibitisha Mashtaka. 😁
Nilimis sana zile "Cross examinations" za akina Kibatala na Mashahidi upande Mashtaka. 😁

Uanzishwe uzi maalum wa kesi hii Mpaka mwisho. Mimi ndo napenda sana namna hii. 😁
 
Usisahau John Mallya ni mmoja wa G55
 
Back
Top Bottom