PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alishasema yoote na akatoa ufafanuzi jinsi wapigania Uhuru na Demokrasia walivyoshinda.

Infact huwezi kuchukua Nchi kilelemama. Anayopitia Tundu Lissu na wenzake ndio Price yenyewe na Soon atakuwa Rais JMT.
Angekuwa rais,Bibi Titi Mohammed,Kasim Hanga,Abdalah Fundikira,Kambona,Sheikh Taqadir,wote hao walimpingq Mwalimu Nyerere,na Mwalimu hakucheka nao.Walionja joto ya jiwe.
 
Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto

Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
"Hakuna dola ambayo ilipambana na raia wake dola hiyo ikashinda" Mh. Christopher Kasanga Tumbo: (RIP)
 
Naona kitengo Cha ccm kimeamua kuipaisha no reforms no election na Tundu lisu zaidi ya mikutano pekee!!Sasa no reforms itafanyika mahakamani na kuripotiwa na vyombo vya habari Hadi kimataifa!!!

Kipigo hicho!
 
Alishasema yoote na akatoa ufafanuzi jinsi wapigania Uhuru na Demokrasia walivyoshinda.

Infact huwezi kuchukua Nchi kilelemama. Anayopitia Tundu Lissu na wenzake ndio Price yenyewe na Soon atakuwa Rais JMT.
Kukamatwa na hawa polisi wa CCM ndiyo ticket ya Lissu kuwa rais wa jmt? Hauko serious.
 
Mhe. Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jioni hii.
View attachment 3299143
Hapo Mapema leo, Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kupitia Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Marco Chilya limesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu anashikiliwa kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi yenye lengo la kuzuia Uchaguzi.

Jeshi la Polisi limetoa onyo kwa vyama vyote vya siasa na wananchi kwa ujumla kuepuka kauli au matendo yanayoweza kusababisha taharuki na kuharibu amani, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya yeyote atakayekiuka sheria.
Bi tozo bwana anategemea mwaka huu atamzuie Lissu😀😀😀😀
 

Na waandamane waone joto ya jiwe.
Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto

Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
 
Wanamwingiza chaka bibi, wanaongeza chuki za watz dhidi ya serikali
Hakuna chuki yoyote Mwalimu Nyerere hakucheka na watu,wanaotaka kuvuruga amani.Aulize kina Bibi Titi Mohammed,Kambona,Kasimu Hanga,Abdallah,kina Sheikh Taqadir,na wale waloteka Air Tanzania,waliishia wapi.Mwalimu alikuwa hacheki na wavunja amani ya nchi.
 
Serikali hii chini ya ccm ,imeishiwa, leo hata Mwenyekiti lissu akipewa likes kutoka mbinguni , hawatafanikiwa ,dunia inajua na watanzania kwa sasa wanajua , chanzo nini ,sana sana serikali hii inazidi kujipaka matope na kuhalalisha kile chadema imekua inapigania.

Serikari za ajabu za aina hii zitatawanyika kwa njia saba wajue pa kuelekea asema Bwana
 
Back
Top Bottom