Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Itafika 2050 bado mtasema hv hvMkuu tafuta dodoki kwa maneno tu hasafishiki
Itafika 2050 bado mtasema hv hvMkuu tafuta dodoki kwa maneno tu hasafishiki
Vipi ww bwana wako yuko wap akunyosheee dole mkunduchinBasi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Ww ukinyooshaga midole yako mumeo anakuongezea hela?Basi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Angeenda kumkamata yeye mwenyewe iwe one v/s one bila hata mmoja kuwa na silaha, hapo ndio angefurahia show.Alimshindwa wap si alikimbia!??
M Waambieni hiyo kitambi kama mimba ya nguruwe itachanika
Mama aelewe hii. Magu akuielewa akang'ang'ana kuuwa na kuteka MUNGU akaondoaMene mene Tekeri na Persi
Polisi wanasaidia kuineza kimataifa No Reforms No Election kwa haraka sana,asante sana Tanpol kwa uzalendo huuView attachment 3299123
View attachment 3299131
View attachment 3299132
View attachment 3299139
View attachment 3299140
View attachment 3299141
Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi
- Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48
- Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni Kawaida Unapoinuka Maadui nao huinuka dhidi yako.No reform itaendelea - hamtapumua kwa kumuweka Lissu ndani.
Alikuwa katili labda wameongezeka tu ika sio kwamba ukatili wake ndio umefutwa na wakatili wapyaHuo ndo ukweli, mlisema JPM n katili, haya hayupo ila moto upo pale pale
Bc kumbe JPM hakuwa katili kwa Chadema bali ni system tuu.Alikuwa katili labda wameongezeka tu ika sio kwamba ukatili wake ndio umefutwa na wakatili wapya
Aliutaka uchair hizi Ndio heka heka za Upinzani naimani atazimudu.
Kwani kakulalamikia ndugu? Au unwashwa?
Huko Mtwara kumetokea nini?Rais wetu mtarajiwa
This will prevail. Hata Watanzania wakinyamaza Mawe yatashinikizaNo reform, No election
Dawa ya kuwadhibiti wahaini ni kuwapeleka mahakamaniHii formula walioyomshauri Mama naona kama wamemdanganya sana.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nani ndugu yako!!?Acha ujinga ndugu yangu