chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Yani huyuu mama na machawa wote mabango pikii piki Tz nzima. Bado anamuogopa lisu kama Ukoma.
Mpaka kwenye mitungi ya Gesi😅😅Yani huyuu mama na machawa wote mabango pikii piki Tz nzima. Bado anamuogopa lisu kama Ukoma.
We jamaa na hii statement yako kila uzii dahhh.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Usisahau John Mallya ni mmoja wa G55
Lissu mwenyewe anaweza kujitetea vzr sn tuSio lazima Mallya awe kwenye defence counsel ya hii kesi, CDM haijawahi pungukiwa Mawakili vipaji Mkuu. Vipaji ni vingi sana Chadema mkuu. 😁
Uliza Mwalimu Nyerere,alivyowafanya kina Bibi Titi Mohammed,Kambona,Kasim Hanga,Sheikh Taqadir,Abdallah Fundikira,hakuwachekea,walionja joto ya jiwe.
Lissu mwenyewe anaweza kujitetea vzr sn tu
Hizo kauli alizitoa huku akiwa katangulia kusema Nini? Maana unapaswa kuleta kitu kamili alichosemaLissu aliongea kauli hatari sana kwa usalama wa nchi. Kuzuia uchaguzi na kukinukisha ni kauli za hovyo. Cha muhimu hapo serikali iandae mashahidi 60 ambao kwa mwaka watasikilizwa watatu tu... akifikiwa shahidi wa 25, DPP aseme hana nia ya kuendelea na kesi.. atakuwa kashajifunza.
Hizo hekaheka alikutana nazo kabla hata hajawa mwenyekiti na zilikuwa kali na hatari zaidi ya hizi.Aliutaka uchair hizi Ndio heka heka za Upinzani naimani atazimudu.
Nikutengeneze Chaos ambazo hazina maana Kabisa, Kuna watu behind the scene wa Plot failure ya MamaHii formula walioyomshauri Mama naona kama wamemdanganya sana.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hii no Moja ya kesi ambayo itakwenda kumvutia sn watanzania na mkubuke km Lissu atashinda hii kesi basi akitoka tu nje basi atawasha moto zaido ya hapo. Maana km kuanza kuelimisha jamii ndio kwanza alikua ameanza sasa akitoka ndio atatoa elimu kubwa na sn.Adv. Dickson Matata anaongoza jopo la mawakili, huyo pembeni. Bila shaka Kibatala atajiunga badae. 😁
Kumeanza kuchangamka. Ngoja tusikie mashtaka yenyewe. 😁
Jinga wewe!Basi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Naam Tena Heka Heka za enzi ya Dikteta uchwara ndio ilikua balaaHizo hekaheka alikutana nazo kabla hata hajawa mwenyekiti na zilikuwa kali na hatari zaidi ya hizi.
Lissu hii ndiyo league Yake sasa. Mpanzu akalale.Aliutaka uchair hizi Ndio heka heka za Upinzani naimani atazimudu.
Ni yeye pekee aliyemchallenge magufuli direct bila kuogopa hadi chato. The only man I mean....akina nape mnakumbuka walitembezwa kilomita Zaid ya 10km just kwenda kusujudu na kugalagala.Naam Tena Heka Heka za enzi ya Dikteta uchwara ndio ilikua balaa
Kahaba anatuharibiaView attachment 3299123
View attachment 3299131
View attachment 3299132
View attachment 3299139
View attachment 3299140
View attachment 3299141
Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi
- Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48
- Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huo ndo ukweli, mlisema JPM n katili, haya hayupo ila moto upo pale paleWe jamaa na hii statement yako kila uzii dahhh.
JPM mwenye ndio walewale tawala za ovyo.
Katiba inasema watu wafikishwe saa ngapi?Miujiza hii..... Saa kumi mtu anafikisha mahakamani😅😅