dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Lissu hazuiliki kwa sasaSerengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi
Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.
Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
View attachment 1583422
gezea Lissu umaarufu
Ungependa iwe hivyo,lakini ndio hivyo tena.Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Bola!MATAGA bhanaLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Sasa mnampiga mabomu ya nini wakati haendi popote? MnachekeshaLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Unajivua nguo hadhalani?Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Mwanzoni nilikuona una akili kumbe la 3B? Bola ndo nini?Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Bola!MATAGA bhana
Bola umeongea ukweli!hate is a sign of weak emotion