Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.

Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.

 
Rorya hajaenda au kaenda?

Kupigana mabomu ni ushamba kama ulivyo ushamba wa kujiona wewe ndiye mzalendo pekee Tanzania nzima.

Mtu ale risasi 16 wanategemea ataogopa vimabomu vya machozi?

Akili nyingine nahisi kama hazina akili, basi zimezeeka au zimeshikiliwa mahali.
 
Kuna Mambo yanatia hasira na Kukasirisha Sana,tunahitaji battle la hoja siyo battle la siraha Wala Nguvu,Mkwele aliwahisema "hoja hupingwa kwa hoja" tofauti nahapo tunatengeneza bomu letu wenyewe

Kwa Hili Sasa naandha kujua why watu wanatumia hii kauli "We mean business",nakumbuka Kigaila Aliwahi sema Ng'ombe atachinjwa Kama alivyo dondoka.
 
"Tumepata taarifa Huko Nyamongo kuna wananchi wamechukizwa sana na kitendo cha kupigwa mabomu wanasema mgombea wa Chama Cha Mbowe amewaletea fujo wakati mgombea wetu analeta maendeleo na anaomba kura kwa unyenyekevu"
-Hungry Mpole Mpole
 
1601291141805.png
 

28 September 2020
Nyamongo, Tarime
Tanzania

TUNDU LISSU AHAIDI KULA SAHANI MOJA NA MAPOLISI WALIO WAPIGA MABOMU NYAMONGO MKOANI MARA

Tundu Lissu na wananchi wa Nyamongo wapigwa mabomu ya machozi na Polisi alipokuwa anapita kuwasalimia katika mchakato wa kampeni ndefu ya kutafuta kura kanda ya Ziwa ambapo ni kawaida wagombea wa vyama mbalimbali kusimamishwa kusalimia wananchi kwa muda mfupi wakielekea kwenye maeneo ya mikutano ambayo inaweza kuwa mbali kidogo

Video polisi wa Nyamongo leo
 
Nyomi la Nyamongo baada ya salamu za mgombea Tundu Lissu , latambaa barabarani kwa furaha licha ya kupigwa mabomu na kuendelea kuusindikiza msafara wa CHADEMA pamoja na wagombea wa Urais, ubunge na udiwani leo
[SUB][/SUB]
 
Back
Top Bottom