Hii ya mabomu ya machozi imemwongezea credit nyingi Lissu. Nawashauri wasifanye hivi tena kwa kuwa ndo wanamsindikiza Ikulu hivyo!!Msichokijua ni kwamba kwa sasa ukimpiga mtu kwa mabomu ya machozi, ni sawa na kumuongezea hamasa ya kwenda kupiga kura za chuki.
Kumbe hujapona! Pole sana!Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Hapo Mugumu lami tu hakuna hata barabara ya Bunda kwenda Mugumu wameshindwa kuikarabati kwa lamiKaribu Mugumo MKOMBOZI......
Go Lissu Go Mr VictorSerengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.
Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
View attachment 1583422
Kauli thabiti kutoka kwa kiongozi imara. Si kama yule mgombea wa kile chama chakavu aliyekatiza ghafla ratiba ya kampeni na kutokwenda Iringa kwa mujibu wa ratiba, na kisha kushindwa kutoa maelezo yenye kueleweka.
Haters hawajielewi. Kila wanachojaribu wanazidi kumwinua Lissu.Wanazidi kumuon
gezea Lissu umaarufu
Kumlaki au kushangaa kumuona hai baada ya yeye mwenyewe kusema sema kwenye mikutano yake mingine kuwa alipigwa risasi 16! Hicho ndio wanakuja kukishangaa wana MARA!Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.
Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
View attachment 1583422
Ccm chaliii. Sasa kwanini wanazuia kampeni?? Jamani CCM mnachokitafuta mtakipata"Tumepata taarifa Huko Nyamongo kuna wananchi wamechukizwa sana na kitendo cha kupigwa mabomu wanasema mgombea wa Chama Cha Mbowe amewaletea fujo wakati mgombea wetu analeta maendeleo na anaomba kura kwa unyenyekevu"
-Hungry Mpole Mpole
Haters will always fail.Kumlaki au kushangaa kumuona hai baada ya yeye mwenyewe kusema sema kwenye mikutano yake mingine kuwa alipigwa risasi 16! Hicho ndio wanakuja kukishangaa wana MARA!
Rorya hajaenda au kaenda?
Kupigana mabomu ni ushamba kama ulivyo ushamba wa kujiona wewe ndiye mzalendo pekee Tanzania nzima.
Mtu ale risasi 16 wanategemea ataogopa vimabomu vya machozi?
Akili nyingine nahisi kama hazina akili, basi zimezeeka au zimeshikiliwa mahali.
Kavunja sheria gani?Usipofata sheria utapigwa tuuu
Usipofata sheria utapigwa tuuu
Wewe umegombea Nini? Na una nini?Kila siku wasema una pesa za ukoo why hutafuti za kwako, mnaakaa kukomba pesa za mzee ,mbona wakati huyo mzee wako ameenda chadema na kupokelewa Kama kweli we mfia chama hamkumzuia, leo wajifanya kada wakati usiku upo chadema,amua moja kuwa wa Moto au baridiLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
We boya hata kuandika hujui! kenge wewe!Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Dada UMEOGA? Hii ni saa 9 ,tuondolee shombo please ! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani