Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

Msichokijua ni kwamba kwa sasa ukimpiga mtu kwa mabomu ya machozi, ni sawa na kumuongezea hamasa ya kwenda kupiga kura za chuki.
Hii ya mabomu ya machozi imemwongezea credit nyingi Lissu. Nawashauri wasifanye hivi tena kwa kuwa ndo wanamsindikiza Ikulu hivyo!!
 
Bahati mbaya kwa ccm na magufuli ni kua baada ya mabomu wananchi ndo wakahamasika zaidi.....

Mpeni Tundu Lissu nchi yake mpeni Maalim Seif nchi yake
 
Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.

Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.

View attachment 1583422
Kumlaki au kushangaa kumuona hai baada ya yeye mwenyewe kusema sema kwenye mikutano yake mingine kuwa alipigwa risasi 16! Hicho ndio wanakuja kukishangaa wana MARA!
 
"Tumepata taarifa Huko Nyamongo kuna wananchi wamechukizwa sana na kitendo cha kupigwa mabomu wanasema mgombea wa Chama Cha Mbowe amewaletea fujo wakati mgombea wetu analeta maendeleo na anaomba kura kwa unyenyekevu"
-Hungry Mpole Mpole
Ccm chaliii. Sasa kwanini wanazuia kampeni?? Jamani CCM mnachokitafuta mtakipata
 
Rorya hajaenda au kaenda?

Kupigana mabomu ni ushamba kama ulivyo ushamba wa kujiona wewe ndiye mzalendo pekee Tanzania nzima.

Mtu ale risasi 16 wanategemea ataogopa vimabomu vya machozi?

Akili nyingine nahisi kama hazina akili, basi zimezeeka au zimeshikiliwa mahali.

Usipofata sheria utapigwa tuuu
 
" maagizo' yameanza kutolewa baada ya kuona wamebanwa ktk kila kona!
ccm kumbekeni kuwa pumzi pekee mliyobakia nayo ni nec-ccm, ma-ccm-DED na mapolisi ccm! tofauti na hapo hukatishi hata nusu siku bila kulala chali!
 
Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Wewe umegombea Nini? Na una nini?Kila siku wasema una pesa za ukoo why hutafuti za kwako, mnaakaa kukomba pesa za mzee ,mbona wakati huyo mzee wako ameenda chadema na kupokelewa Kama kweli we mfia chama hamkumzuia, leo wajifanya kada wakati usiku upo chadema,amua moja kuwa wa Moto au baridi
 
28 September 2020
Nyamongo, Mara
Tanzania

TUNDU LISSU AHAIDI KULA SAHANI MOJA NA MAPOLISI WALIO WAPIGA MABOMU NYAMONGO MKOANI MARA



Watu wengi wamekufa hapa Nyamongo Tarime toka mwaka 2003 wengine walifungwa magerezani, wamepata ulemavu wa kila aina, kupoteza mashamba yao na migodi yao midogo kwa kisingizio cha uwekezaji. Miaka 17 iliyopita (2003) mgodi wa Nyamongo ulileta msiba mkubwa asema mgombea Tundu Lissu.

Serikali ya CCM ilishiriki katika madhila haya toka 2003 hadi leo 2020 halafu pia wanadiriki kuwapiga mabomu ya machozi. Atoa angalizo kwa Magufuli kuingilia mikutano ya CHADEMA na pia Kassim Majaliwa kufanya kampeni kinyume cha sheria ya Maadili ya Uchaguzi lakini Tume ya Uchaguzi ya Taifa haikemei wala kuiandikia barua CCM Mpya ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom