Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

..Hili ni darasa tosha kwa wanaotaka kuongeza uelewa wao kuhusu Katiba.

..Nitoe pongezi kwa muuliza maswali John Marwa kwa kuuliza maswali mazuri.

..wakati mwingine waandishi wetu wanauliza maswali mabaya yasiyo na maana na kupelelea kupata majibu ya kiwango cha chini.
 
Huyo jamaa wa Dar Mpya siku hizi yuko Jambo Tv?

Namkubali sana ni jembe.

..kwani Dar Mpya haikuwa mali yake.

..huyu jamaa anajitahidi sana ktk kuuliza maswali.

..John Marwa yuko tofauti na waandishi wengine.
 
..kwani Dar Mpya haikuwa mali yake.

..huyu jamaa anajitahidi sana ktk kuuliza maswali.

..John Marwa yuko tofauti na waandishi wengine.
Huyo ndiye John Marwa? Aisee ndio jembe pekee lilibaki kuripoti habari za upinzani bila woga enzi zile za ujima.
 
..kwani Dar Mpya haikuwa mali yake.

..huyu jamaa anajitahidi sana ktk kuuliza maswali.

..John Marwa yuko tofauti na waandishi wengine.
John Marwa huuiza swali reeeeefu hadi unazeleu, amateurs!
 
Uone sasa Lissu anavyopuuzwa.hata wanachadema wenyewe wa kusikiliza hayo maneno yake hakuna
 
Mwanasheria mkuu katika Bunge la Wananchi. Ombi kila mara afuatwe kufafanua masuala ya kisheria, katiba na miswada inayosainiwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupitishwa na Bunge la sasa la Dodoma
 
Uone sasa Lissu anavyopuuzwa.hata wanachadema wenyewe wa kusikiliza hayo maneno yake hakuna

..kuna wanasiasa wachache sana hapa Tz wanaoweza kufafanua masuala ya Katiba na Sheria kwa ufasaha na lugha nyepesi kama Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom