Video: Tuwe makini na imported rice

Video: Tuwe makini na imported rice

Mbona unatengenezwa kienyeji hivyo mkuu. Ni kweli mie wa hapa hapa, bora kubakia na tamaduni zetu.
Wahindi wanapenda sana kutengeneza kama walivyokuwa wanafanya babu zao miaka yote

Wao wana thamini ya zamani na hawabadiliki mkuu
Vyakula vyao wanatengeneza kwa mikono yao sio mashine

Kweli ni kienyeji mkuu

Ila hata wewe pamoja na kukaa hapo nyumbani ila tamaduni za watu zinakufuata hapo hapo hata Italians walituletea pasta na wahindi biriyani

Leo mpaka Mandi ya Myemeni inaliwa Dar

Huwa nasafiri kwenda kuona tamaduni zao na Street food napenda sana
Kama mama ntilie kwetu ila napenda seafood [emoji39] zaidi
Nilienda Unguja nilipenda sana Street food zao
 
Hii video ilisambaa sana, enzi za kelele mchele wa plastiki
 
Back
Top Bottom