Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Kama ndivyo Tume ya Uchaguzi ilikuwa wapi? Ama Katiba yetu ina semaje.
Toka lini TZ kufuatwa katiba ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndivyo Tume ya Uchaguzi ilikuwa wapi? Ama Katiba yetu ina semaje.
Kwani Waarabu wa Dubai hawana Undugu na Samia?Mkuu mimi na wewe hatuna tofauti sana ya umri, G55 Nyerere aliitupilia mbali kwani aligundua ilikuwa na chembechembe za chuki dhidi ya urais wa Hayati Ali Mwinyi.
Hoja imezaliwa tena mwaka huu baada ya Samia kuwepo ikulu kwa miaka mitatu, chanzo chake ni hisia potofu za baadhi yetu kudhani kuwa DP World ni ndugu zake Samia kwa hiyo anatengeneza mazingira ya kuiibia Tanzania wanasahau kuwa hawa DP World wapo Ubelgiji, India na Marekani pia, wameshindwa kuiona hoja pana ya kiuchumi na faida za nchi yetu kuwa na waendeshaji wenye umahiri kwa ajili ya bandari zetu wameishia kutengeneza hoja yenye msingi wa kibaguzi nadhani sababu ni elimu zetu kuwa ndogo.
Hayati JPM angekuwa hai mpaka muda huu usingesikia lolote kuhusu masuala ya kuhoji uhalali wa muungano.
Ndio ujitolea mkuu uwaelimishe ndugu zako, wao wanaona kuvaa makoti na mabuti ya jeje ndio usomi smh! vitu vidogo wanashindwa kupambanua useless empty brain.Kwa Zanzibar inawezekana kwasababu Zanzibar ina autonomy yake ya mambo yake ya ndani, wakati mambo ya Tanzania ni ya wote wakiwemo Wanzanzibari.
Elimu kuhusu katiba, sheria na haki ni muhimu ili watu wajue kuhusu autonomy ya Zanzibar na kuacha hizi kelele za ubaguzi, kutaka kuwabagua, tena afadhali ya sasa, mimi nimeingia Zanzibar kwa passport enzi hizo!.
P
Hakuna utawala wa Sultani uliopinduliwa hayo ni makosa kuwalisha watu matango pori.
Iliyopinduliwa ni serikali iliyochaguliwa na watu ya Muhammed Shamte Mpemba wa Ole .
Msikilize sheikh Ponda anaweka wazi
View: https://www.youtube.com/watch?v=a77bFNmkSwA
Mkuu nauelewa upande Wako unaosema na mimi nipo upande huo huo..Siyo kweli. Umesoma vibaya alipoandika Samuel Sitta au Sitta alijielekeza vibaya. Jina Tanzania lilianza kutumika Novemba 1, 1964.
View attachment 2991615
Wakina Mtikila, Njelu Kasaka, Aboud Jumbe, Faki, Seif Sharif Hamad walilibua na kutumia lugha yenye ukakasi kuliko hii na wamekufa Muungano umebaki.Kwani Waarabu wa Dubai hawana Undugu na Samia?
Pili Umesahau kila uongozi nahisi Hili swala La muungano Huwa linaibuka Hata kwa Magufuli liliibuka Ila Magufuli alishughulika nalo..
Kwa kikwete hivyo Hivyo na hata kwa Mkapa kama una kumbukumbu..
Limekuwa likiibuka sana..
Japo muda mwingi lilikuwa Likiibuka Zanzibar kwa kasi sana ils safari hii Limeibuka Bara kwa Kazi kuliko zanzibar..
Ila kila Utawala lilikuwepo ndo maana nimekuuliza Kuhusu mtikila kama Unafahamu..?
Mtikila kipindi cha Mkapa na Kikwete
Kipindi cha Tume ya Waryoba na Bunge la Bajeti Pia Ikaendelea Mpaka kwa Magufuli na sasa Imeibuka tena kwa Samia..
Nadhani Hili swala Linaibuka kutokna na Changamoto za Muungano zinavyozidi Kukua
Wazenji wengi wana undugu na waarabu japo mara nyingi ni kizazi kimoja au viwili nyuma, isiwe nongwa kwa Samia kuwa na udugu na waarabu. Mtikila namkumbuka na ile hotuba yake ya 'magabacholi'.Kwani Waarabu wa Dubai hawana Undugu na Samia?
Pili Umesahau kila uongozi nahisi Hili swala La muungano Huwa linaibuka Hata kwa Magufuli liliibuka Ila Magufuli alishughulika nalo..
Kwa kikwete hivyo Hivyo na hata kwa Mkapa kama una kumbukumbu..
Limekuwa likiibuka sana..
Japo muda mwingi lilikuwa Likiibuka Zanzibar kwa kasi sana ils safari hii Limeibuka Bara kwa Kazi kuliko zanzibar..
Ila kila Utawala lilikuwepo ndo maana nimekuuliza Kuhusu mtikila kama Unafahamu..?
Mtikila kipindi cha Mkapa na Kikwete
Kipindi cha Tume ya Waryoba na Bunge la Bajeti Pia Ikaendelea Mpaka kwa Magufuli na sasa Imeibuka tena kwa Samia..
Nadhani Hili swala Linaibuka kutokna na Changamoto za Muungano zinavyozidi Kukua
Mkuu Mimi simo maana Wakikusikia Ndugu zangu (Wazanzibar) nawajua Vizuri wao Matusi Huwa yapo karibu na watasema Unaleta Lugha za kuwabaguaWakina Mtikila, Njelu Kasaka, Aboud Jumbe, Faki, Seif Sharif Hamad walilibua na kutumia lugha yenye ukakasi kuliko hii na wamekufa Muungano umebaki.
Na sisi tutakufa na akina Tundu Lissu na Jussa ila Muungano utabaki.
Muungano huu ungekuwa siyo mzuri na hautatui kero basi ungeshavunjika kama Mungano wa USSR au Yugoslavia, au United Arab Republic (Egypt & Syria) au Senegambia.
Ziko nchi zina kabila moja, dini moja kama Somalia au Sudan, katika miaka 60 ya Muungano wa Tanzania zimepigana, watu wameuana na miungano yao imesambaratika. Muungano wa Tanzania bado uko solid.
Mtu asikudanganye kwamba Zanzibar nje ya Muungano itapiga maendeleo. Zanzibar ni maskini sana na haina raslimali zozote za maana. Mdiyo maana hata viwango vya kodi inayotozwa ni ndogo kwa vile watu wa kule ni maskini sana. Angalia hata umeme hawawezi kulipa kama huku bara, lazima tuwawekee ruzuku.
Mategemeo yao ni kujisalimisha kwa masultani wao wa zamani tu (Oman) na wao kubakia vijakazi
Ila magufuli aliwahi kusema Kuwa Samia Waarabu ni wajomba zake!Wazenji wengi wana undugu na waarabu japo mara nyingi ni kizazi kimoja au viwili nyuma, isiwe nongwa kwa Samia kuwa na udugu na waarabu. Mtikila namkumbuka na ile hotuba yake ya 'magabacholi'.
Haimfanyi akaishi kinyume na kiapo chake.Ila magufuli aliwahi kusema Kuwa Samia Waarabu ni wajomba zake!
Unakumbuka?
Kwa Zanzibar inawezekana kwasababu Zanzibar ina autonomy yake ya mambo yake ya ndani, wakati mambo ya Tanzania ni ya wote wakiwemo Wanzanzibari.
Elimu kuhusu katiba, sheria na haki ni muhimu ili watu wajue kuhusu autonomy ya Zanzibar na kuacha hizi kelele za ubaguzi, kutaka kuwabagua, tena afadhali ya sasa, mimi nimeingia Zanzibar kwa passport enzi hizo!.
P
Ukiwa hujui na unajua kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukielimishwa utaerevuka, ujinga utakutoka, utakuwa mwerevu.Wewe jamaa ni kilaza sana .
Hapo nilipo bold umedanganya .
Huu Muungano unayo mambo mahususi ya muungano.
Huwezi kusema mambo ya Tanzania ni ya wote acha kupotosha sio kweli
Hilo niliwahi kuuliza humu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?Mategemeo yao ni kujisalimisha kwa masultani wao wa zamani tu (Oman) na wao kubakia vijakazi
Elimu ya uraia inahitajika sana!. Uhalali wa ndoa sio shahada ya ndoa, ni performance ya ndoa, consummation. Hivyo hata mkichukuana tuu bila kufunga ndoa, mkafanya performance ya ndoa, mnakuwa mna ndoa halali baada ya kuishi kinyumba for sometime.Performance ya muungano ndio hii , Pascal labda wewe unaona sawa na nzuri kwa sababu wanaoumia si watu wako
Mkuu P1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Ziko ndoa nyingi tuu, wanandoa wanasigana, lakini performance inaendelea na ndoa inaendelea. Usisikilize kelele za vitimbakwiri vya wapinga muungano, muungano wetu ni imara, na tutaulinda kwa gharama yoyote, hata kama baadhi ya gharama hizo ni machozi, jasho na damu!.Hata kama wazanzibari hawaukubali ?? Performance ipi ya kuwauwa wazanzibari kila uchaguzi ili kuweka vibaraka vya Tanganyika ??
Hakuna mkataba wa muungano!, kilichopo ni makubaliano ya muungano!. Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano? na dhima ya makubaliano hayo ni ya milele!. Hakuna kipengele chochote cha jinsi ya kuuvunja muungano!.Mkataba wa muungano / uvamizi unasemaje ??
Katiba ya Zanzibar inasema zanzibar ni nchi au sio nchi?.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Katiba ya Zanzibar ni kwa ajili ya mambo ya ndani ya Zanzibar, Katiba ya JMT haitambui katiba ya Zanzibar. Tanzania ni nchi moja ya JMT, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT. Hivyo haijalishi katiba ya Zanzibar inasema nini kuhusu Zanzibar, hayo ni mambo yao, hayatuhusu!.Katiba ya Zanzibar inasema zanzibar ni nchi au sio nchi?.