Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni.

Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray.

Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi Joe Biden amepeleka majeshi ya Marekani Djibouti kuwasaidia hawa waasi.

Na kwa vile hatujasikia nani anataka kumsaidia Abiy Ahmed,tunaweza kusema,"Bye bye Abiy".

Jana usiki nimewaona Wamisri watatu wanafanya evening stroll. Hawaongei Kiingereza. Waliponiona nimeshika tasbihi wakaniuliza kama mimi ni Mwislamu. Juhudi zote za kuongea nao zilipinga mwamba. They don't speak English. So what are they doing here? Wamefikia Hotel ya Regent, Mikocheni.
 
Djibout kuna base pale ya Jokers pale kitambo, hata ile bandari pale wana kaeneo kao pale.

Kuna reli pia kutokea Djibout to Adis, inaweza kuwa main supply kijeshi ya jeshi la ethiopia ambayo ukicut hiyo umewaua other wise wategemee upande wa rafiki zao Eritrea. Lets wait and see.
 
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni.

Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray.

Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi Joe Biden amepeleka majeshi ya Marekani Djibouti kuwasaidia hawa waasi.

Na kwa vile hatujasikia nani anatataka kumsaidia Abiy Ahmed,tunaweza kusema,"Bye bye Abiy".

Jana usiki nimewaona Wamisri watatu wanafanya evening stroll. Hawaongei Kiingereza. Waliponiona nimeshika tasbihi wakaniuliza kama mimi ni Mwislamu. Juhudi zote za kuongea nao zilipinga mwamba. They don't speak English. So what are they doing here? Wamefikia Hotel ya Regent, Mikocheni.

Kuna mataifa kama UAE, Turkey wanaisaidia Ethiopia. Hata Kenya inatoa logistical support kwa Ethiopia. Shida wapinzani wako karibu sana na Addis.
 
Kwa hiyo rebels wanaulizwa,'mkiingia madarakani,mna mipango gani?"
Kwa hiyo inaonekana kwamba they want to find an African,solution to the problem.
But is it an African,solution to the problem?
Halafu that rebel says he fears the conflict may spill to other countries in Africa.
But who is it that decides where the conflict will spill to? Surely,it not that rebel.
 
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni.

Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray.

Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi Joe Biden amepeleka majeshi ya Marekani Djibouti kuwasaidia hawa waasi.

Na kwa vile hatujasikia nani anatataka kumsaidia Abiy Ahmed,tunaweza kusema,"Bye bye Abiy".

Jana usiki nimewaona Wamisri watatu wanafanya evening stroll. Hawaongei Kiingereza. Waliponiona nimeshika tasbihi wakaniuliza kama mimi ni Mwislamu. Juhudi zote za kuongea nao zilipinga mwamba. They don't speak English. So what are they doing here? Wamefikia Hotel ya Regent, Mikocheni.
Wewe nenda kasome upya hiyo taarifa yako. Inamaana hujui kwamba hapo Djibout kwenye Mji wa Ambouli karibu na Mji Mkuu wa Nchi hiyo ndio Kuna Kambi kubwa na Jeshi la wanamaji la Marekani CAMP LEMBONNEIR ambayo ndio Kambi kubwa na Wanawaji ya Marekani kuliko zote Barani Africa?

Yaani ulitaka kwasababu Kuna Vita huko Ethiopia Basi Marekani iache kupeleka SUPPLIES na Mahitaji ya Wanajeshi wake takribani 40,000 walioko kwenye Kambi hiyo? Utakuwa umerogwa wewe.
 
Wel jiulize kwa nini Museveni anakuja kesho kutembea Tanzania.
 
Kwani huyo Mseven alikuwa hajawahi kuja Tanzania kabla ya huo mgogoro wa Ethiopia?

Yaani ulitaka kwamba kwa vile huko Ethiopia Kuna Mapigano Basi Mseveni asifanye ziara yoyote ile nje ya nchi? Utakuwa na shida kwenye MEDULLA OBLONGATA na Wala Sio bure.
 
Kwani hujamsikia Museveni anauliza,"Sasa,tufanye nini kuhusu huyu Abiy na hawa waasi. Mimi naona kama vile hawa waasi wanapaswa kuthibitiwa."
 
Wewe nenda kasome upya hiyo taarifa yako. Inamaana hujui kwamba hapo Djibout kwenye Mji wa Ambouli karibu na Mji Mkuu wa Nchi hiyo ndio Kuna Kambi kubwa na Jeshi la wanamaji la Marekani CAMP LEMBONNEIR ambayo ndio Kambi kubwa na Wanawaji ya Marekani kuliko zote Barani Africa?

Yaani ulitaka kwasababu Kuna Vita huko Ethiopia Basi Marekani iache kupeleka SUPPLIES na Mahitaji ya Wanajeshi wake takribani 40,000 walioko kwenye Kambi hiyo? Utakuwa umerogwa wewe.
Yaani miafrika tuna shida sana, kila kwenye matatizo yetu wenyewe lazima tutafute mchawi?!!mbona hao hao wazungu ndio waliompatia sifa nyingi sana huyo rais wa Ethiopia hadi kumpatia tuzo ya nobeli, baada ya kuanza vizuri uongozi?!!nani asiyejua chanzo cha mgogoro wao?!AU, wamekaa kimya tu kwani ndio wale wale tu,
 
Wewe nenda kasome upya hiyo taarifa yako. Inamaana hujui kwamba hapo Djibout kwenye Mji wa Ambouli karibu na Mji Mkuu wa Nchi hiyo ndio Kuna Kambi kubwa na Jeshi la wanamaji la Marekani CAMP LEMBONNEIR ambayo ndio Kambi kubwa na Wanawaji ya Marekani kuliko zote Barani Africa?

Yaani ulitaka kwasababu Kuna Vita huko Ethiopia Basi Marekani iache kupeleka SUPPLIES na Mahitaji ya Wanajeshi wake takribani 40,000 walioko kwenye Kambi hiyo? Utakuwa umerogwa wewe.
Upo sahihi kabisa isitoshe hiyo kambi ipo hapo miaka mingi tu.
 
Kwani hujamsikia Museveni anauliza,"Sasa,tufanye nini kuhusu huyu Abiy na hawa waasi. Mimi naona kama vile hawa waasi wanapaswa kuthibitiwa."
M7 kasemaje?
Huyu ni kijana wake anasema hivi tushike lipi mkuu?
535972C6-420E-47D8-AAF7-7298AAF3C6F2.png
 
Upo sahihi kabisa isitoshe hiyo kambi ipo hapo miaka mingi tu.
Watu wanaongea kuhusu kumsaidia Abiy lazima wajue wanashindana na nani. Joe Biden anawasaidia wale. Unaelezwa habari za Kiintelijenstia. Usilete ubishi.
Hawa Watigray wamekung'utwa juzi,sasa wamerudi "kimiujiza"wamekaribia kuiteka Addis. Tena maneno yanayosemwa ni kwamba wanaona haya kuivamia Addis,kuepusha humanitarian crisis. Huo uwezo wao ghafla wa kuitishia Addis wameupata wapi?(kama siyo America inawasaidia?).
 
Tunaposhindwa kuongoza watu wetu kwa haki ndipo baadae tunamptupia lawama mmarekani au ulaya kuwa anatuharibia amani.
Lakini sisi nchi za waafrika bado tu washenzi sana.
Viongozi wanakuwa mafisadi wakubwa, wababe, wabishi , viburi.

Namna hii tunatengeneza migogoro yetu wenyewe , tusimlaum mmarekani.
 
Watu wanaongea kuhusu kumsaidia Abiy lazima wajue wanashindana na nani. Joe Biden anawasaidia wale. Unaelezwa habari za Kiintelijenstia. Usilete ubishi.
Hawa Watigray wamekung'utwa juzi,sasa wamerudi "kimiujiza"wamekaribia kuiteka Addis. Tena maneno yanayosemwa ni kwamba wanaona haya kuivamia Addis,kuepusha humanitarian crisis. Huo uwezo wao ghafla wa kuitishia Addis wameupata wapi?(kama siyo America inawasaidia?).
Sidhani kama Marekani anawasaidia huenda jeshi la Ethiopia ni dhaifu ndio maana hao Watigray wanaonekana wanashinda.
 
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni.

Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray.

Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi Joe Biden amepeleka majeshi ya Marekani Djibouti kuwasaidia hawa waasi.

Na kwa vile hatujasikia nani anataka kumsaidia Abiy Ahmed,tunaweza kusema,"Bye bye Abiy".

Jana usiki nimewaona Wamisri watatu wanafanya evening stroll. Hawaongei Kiingereza. Waliponiona nimeshika tasbihi wakaniuliza kama mimi ni Mwislamu. Juhudi zote za kuongea nao zilipinga mwamba. They don't speak English. So what are they doing here? Wamefikia Hotel ya Regent, Mikocheni.

Waende wakarekebisha Libya na Iraq kwanza, hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom