Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Ehem
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiii
Uke utapata tabu sana hapa
 
Kwanini umekuja humu JF kufichua siri zangu [emoji848][emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndiyo Uanaume sasa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tafuteni pesa... Mwanaume rijali unakosaje gari hata bovu... Nununua hata PASSO au IST...
Wanawake ni chombo cha starehe sasa mnataka muwatembeze kwenye bodaboda daladala na bajaji..?...
 
Nahisi umeleta uzi huu kuchangqmsha jqmvi tu ila kama umeleta ukiwa unamaanisha kabisa kwamba hayo uliyoyasema yametoka moyoni basi wewe ni hasara kwa Ukoo wenu na hata huyo unamchuna hajajua tu analea joka zee lenye magamba.

Where do you get the guts to spills stupid thought out of mouth. I might be talking to a well known whore and gold digger who wants to convince us she is a woman while she is just human being with two excessively used holes. You're a waste type of girls who is married to a cuck.
 
Hawa wanawake takataka wenye akili zakimasikini niwateketeza kabisa, akili finyu kweli, wewe baba alokuzaa amekosa gari halafu wewe unaleta nyenyenye kutaka mwanaume awe na gari ni akili au matope!?
 
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Huyo mwenye gari kali una mpa nini? UCHI TU?
 
Umewajibu vizuri hao vizabi zabina..... Limewashuka hasa......
Kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua mwenza...yeye anavutiwa na Mtu ako na gari na sabbu za msingi anazo ...Sasa ww kinakuuma Nini...😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…