Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Ehem
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiii
Uke utapata tabu sana hapa
 
Ila Pana kero kwenye daladala na mabus Jana nimesafiri na mtu ana Nuka mdomo nilikua naomba asiongee na simu ni mateso aisee nikakumbuka maski,Leo ndani ya bus watu wanapitiwa usingizi fully harufu mbaya ya ushuzi.
Kumbe wapandao ndege na kuwa na magari binafsi Wana maana yao.
Wanakwepa mengi yakiwemo harufu za midomo,vikwapa ushuzi kuandaana nk.
Kwanini umekuja humu JF kufichua siri zangu [emoji848][emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Katika historia yangu demu aliyenikataaga kwa sababu zozote zile alafu badae anikute kwenye hali fulani nzuri aanze kunishobokeaga sijawahi pepesa maneno. Wapo kama watatu hivi nilishawahi kuwachana, mlipokuwa na chuchu zimesimama mliniona fala kwahyo sasahivi ndio mnaniona nafaa. Kipindi life ngumu hawataki shobo lakini nimetusua kidogo tu hao
Huu ndiyo Uanaume sasa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tafuteni pesa... Mwanaume rijali unakosaje gari hata bovu... Nununua hata PASSO au IST...
Wanawake ni chombo cha starehe sasa mnataka muwatembeze kwenye bodaboda daladala na bajaji..?...
 
Nahisi umeleta uzi huu kuchangqmsha jqmvi tu ila kama umeleta ukiwa unamaanisha kabisa kwamba hayo uliyoyasema yametoka moyoni basi wewe ni hasara kwa Ukoo wenu na hata huyo unamchuna hajajua tu analea joka zee lenye magamba.

Where do you get the guts to spills stupid thought out of mouth. I might be talking to a well known whore and gold digger who wants to convince us she is a woman while she is just human being with two excessively used holes. You're a waste type of girls who is married to a cuck.
 
Hawa wanawake takataka wenye akili zakimasikini niwateketeza kabisa, akili finyu kweli, wewe baba alokuzaa amekosa gari halafu wewe unaleta nyenyenye kutaka mwanaume awe na gari ni akili au matope!?
 
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Huyo mwenye gari kali una mpa nini? UCHI TU?
 
Umewajibu vizuri hao vizabi zabina..... Limewashuka hasa......
Kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua mwenza...yeye anavutiwa na Mtu ako na gari na sabbu za msingi anazo ...Sasa ww kinakuuma Nini...😅
 
Back
Top Bottom