KASHAMBURITA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 204
- 655
Kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua mwenza...yeye anavutiwa na Mtu ako na gari na sabbu za msingi anazo ...Sasa ww kinakuuma Nini...😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio napokukubali. fisi haachi mzogaMuhimu pesa unayo?!!
Unazungumzia watoto wa kishua wa wapi wanaopandishwa daladala acha kutupanga hapa,Kuamini kuwa mwanaume wako anatakiwa kukupatia vitu ambavyo baba yako na ukoo mzima wameshindwa kukupatia kwa malipo ya sehemu zako za siri ni aina ya kisasa ya Umalaya ambao jamii haikemei na mabinti mnaufanya wazi wazi.
Ungekuwa unatoka familia ya kishua ambayo wanagari saba zimepaki hapo nje then ungekuwa na haki ya kusema unataka the same treatments familia yako walikupa.
Sasa cha ajabu watoto wa kike wanaotokea hizi familia za kishua huwa hawanaga time ya kudemand wapewe maisha mazuri yaani magari sijui nini, wao ukimpeleka Moody chips mkale lunch anakwenda bila dharau, ukimpandisha daladala mradi u are having a good time she's okay, na pale unapokwama atajitoa ili akukwamue.
Ila sasa hizi takataka tunakutana nazo hizi zimekulia maisha ya kubangaiza kama sisi halafu wanatuigizia kuwa wao wanakula tu pizza, burger [emoji488], na take aways za KFC tu. Pumbavu kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka kunywa soda nakuja kulipiaMwanamke mpumbavu utamjua kwa kauli zake za kipumbavu.
Utakuta ukoo wake mzima hakuna hata mmiliki wa bajaji, halafu utakuta mwanamke mwenye masharti ya kipumbavu Hana chura, Hana elimu, anamatatizo ya ndani kwa ndani, Hana mvuto yaani amekaa Kama mchawi Fulani hivi.
wahuni hawa wanafanya maisha ya wanaume yajawe na stress kila uchwaoMkubalie hivyo bila gari, huenda akianza kudate na wewe ndiyo akaja kumiliki gari kali kuliko ulilonalo.
Wanasema maisha hayana formula, who knows kesho kitatokea nini 🤷♂️
Cute Wife haya ni ya kweli ?Cute wife hata upande baiskeli hakatai
Hapo ndio napokukubali. fisi haachi mzoga
I second this.Kuamini kuwa mwanaume wako anatakiwa kukupatia vitu ambavyo baba yako na ukoo mzima wameshindwa kukupatia kwa malipo ya sehemu zako za siri ni aina ya kisasa ya Umalaya ambao jamii haikemei na mabinti mnaufanya wazi wazi.
Ungekuwa unatoka familia ya kishua ambayo wanagari saba zimepaki hapo nje then ungekuwa na haki ya kusema unataka the same treatments familia yako walikupa.
Sasa cha ajabu watoto wa kike wanaotokea hizi familia za kishua huwa hawanaga time ya kudemand wapewe maisha mazuri yaani magari sijui nini, wao ukimpeleka Moody chips mkale lunch anakwenda bila dharau, ukimpandisha daladala mradi u are having a good time she's okay, na pale unapokwama atajitoa ili akukwamue.
Ila sasa hizi takataka tunakutana nazo hizi zimekulia maisha ya kubangaiza kama sisi halafu wanatuigizia kuwa wao wanakula tu pizza, burger [emoji488], na take aways za KFC tu. Pumbavu kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]
WE UNAZO??? TUANZIE APO KWANZAUpo sahihi shoga angu, kwenda dinner kwa daladala hapana hainogiiiiiiiiiii,
Wanaume tafuteni helaaaaaa
Wanafanya Wanaume tunaenda Benki kukopa Mikopo Chefuchefu kwaajili yao.wahuni hawa wanafanya maisha ya wanaume yajawe na stress kila uchwao
Mwanaume unataka kulelewa [emoji1787]WE UNAZO??? TUANZIE APO KWANZA
Tunakaza msuli kwa ajili ya maisha yetu na sio kuwapa ninyi pesa zetu.Mwanaume unataka kulelewa [emoji1787]
Kaza msuli, simama kiume, waleti itune
Mkuu umeongea kwa hasira sana 😁Kuamini kuwa mwanaume wako anatakiwa kukupatia vitu ambavyo baba yako na ukoo mzima wameshindwa kukupatia kwa malipo ya sehemu zako za siri ni aina ya kisasa ya Umalaya ambao jamii haikemei na mabinti mnaufanya wazi wazi.