Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Kuamini kuwa mwanaume wako anatakiwa kukupatia vitu ambavyo baba yako na ukoo mzima wameshindwa kukupatia kwa malipo ya sehemu zako za siri ni aina ya kisasa ya Umalaya ambao jamii haikemei na mabinti mnaufanya wazi wazi.

Ungekuwa unatoka familia ya kishua ambayo wanagari saba zimepaki hapo nje then ungekuwa na haki ya kusema unataka the same treatments familia yako walikupa.

Sasa cha ajabu watoto wa kike wanaotokea hizi familia za kishua huwa hawanaga time ya kudemand wapewe maisha mazuri yaani magari sijui nini, wao ukimpeleka Moody chips mkale lunch anakwenda bila dharau, ukimpandisha daladala mradi u are having a good time she's okay, na pale unapokwama atajitoa ili akukwamue.

Ila sasa hizi takataka tunakutana nazo hizi zimekulia maisha ya kubangaiza kama sisi halafu wanatuigizia kuwa wao wanakula tu pizza, burger [emoji488], na take aways za KFC tu. Pumbavu kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unazungumzia watoto wa kishua wa wapi wanaopandishwa daladala acha kutupanga hapa,

Tafuta helaaaaaaaaa
 
Mwanamke mpumbavu utamjua kwa kauli zake za kipumbavu.
Utakuta ukoo wake mzima hakuna hata mmiliki wa bajaji, halafu utakuta mwanamke mwenye masharti ya kipumbavu Hana chura, Hana elimu, anamatatizo ya ndani kwa ndani, Hana mvuto yaani amekaa Kama mchawi Fulani hivi.
Kaka kunywa soda nakuja kulipia
 
Kuamini kuwa mwanaume wako anatakiwa kukupatia vitu ambavyo baba yako na ukoo mzima wameshindwa kukupatia kwa malipo ya sehemu zako za siri ni aina ya kisasa ya Umalaya ambao jamii haikemei na mabinti mnaufanya wazi wazi.

Ungekuwa unatoka familia ya kishua ambayo wanagari saba zimepaki hapo nje then ungekuwa na haki ya kusema unataka the same treatments familia yako walikupa.

Sasa cha ajabu watoto wa kike wanaotokea hizi familia za kishua huwa hawanaga time ya kudemand wapewe maisha mazuri yaani magari sijui nini, wao ukimpeleka Moody chips mkale lunch anakwenda bila dharau, ukimpandisha daladala mradi u are having a good time she's okay, na pale unapokwama atajitoa ili akukwamue.

Ila sasa hizi takataka tunakutana nazo hizi zimekulia maisha ya kubangaiza kama sisi halafu wanatuigizia kuwa wao wanakula tu pizza, burger [emoji488], na take aways za KFC tu. Pumbavu kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]
I second this.
 
Mkuu umeongea kwa hasira sana 😁
 
Back
Top Bottom