Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Mwanamke mpumbavu utamjua kwa kauli zake za kipumbavu.
Utakuta ukoo wake mzima hakuna hata mmiliki wa bajaji, halafu utakuta mwanamke mwenye masharti ya kipumbavu Hana chura, Hana elimu, anamatatizo ya ndani kwa ndani, Hana mvuto yaani amekaa Kama mchawi Fulani hivi.
Sasa huyo ni Mwanamke au Mwanaume mwenzenu🤮
 
Kuna Maisha gani bila Mwanamke?
Hakuna Mwanaume aliyekamilika akawa na Pesa halafu asitumie na Mwanamke,

Tafuta Helaaaaaaaa
Kweli una mawazo mgando, ukiacha mzazi sio lazima pesa utumie na mwanamke, kuna pombe, sigara, kamari(betting) n.k unaweza tumia pesa zako uko
 
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
View attachment 2643444
siji kusau mwaka 2019 nilikua naenda zangu kununua crown athlete nlipanda bajaji na mtoto mkali sana nilimuomba namba akanitolea nje ,sasa kama baada ya wiki hvi kuna hotel nilienda kulala so ile natoka zangu asubuh pale nikamuona yule mdada anamwagilia maua ya hyo hotel kumbe alikua akifanya kazi pale ,tukagongana macho akaanza kujisheua nkaachana nae nkaenda kwenye ndinga yangu ikiwa na chasis number wakat natoka nikawa namuangalia kwenye side mirror 😅 nkamuona ameacha hta kazi akawa anashangaa tu maana nilikua na mwili mdogo pia , next time nilivoenda pale nikamkuta counter ya bar akawa anaflit kuniomba mimi number 😅😅😅 nikacheka kwa dhalau afu nikaipigia pisi yangu kali hyo balaa ije pale pale hotel ,So yule dem nikamtoa kabsa nishai .....SO FUNZO TUSIMJUDGE MTU TUSIYEMJUA
 
Wema alikua akishangaa watu wanapanda daladala Leo hata IST mbovu hana,atakosa hadi za ubber.
Ukimuona mtu anatembea kwa mguu kimara kariakoo kwa kukosa mia 5 usimcheke maisha ni foleni.
 
Ila Pana kero kwenye daladala na mabus Jana nimesafiri na mtu ana Nuka mdomo nilikua naomba asiongee na simu ni mateso aisee nikakumbuka maski,Leo ndani ya bus watu wanapitiwa usingizi fully harufu mbaya ya ushuzi.
Kumbe wapandao ndege na kuwa na magari binafsi Wana maana yao.
Wanakwepa mengi yakiwemo harufu za midomo,vikwapa ushuzi kuandaana nk.
 
Back
Top Bottom