Video: Utamuweza vipi mwanamke wa namna hii?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI.

Hapa unashindwa kuelewa kwanini huyu mwanamke katoa nywele zake nzuri na kuweka wifi(fake) na Bado akaonekana kufurahia kabisa?

Manyanza
 
View attachment 3198384
Nadhani hili jambo lina majibu kwenye nyuzi zangu
 
Back
Top Bottom