Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

sasa unataka nani akamhoji kwaajili yako siuende mwenyewe?
nahata usipo amini kwani unampunguzia ubilionea wake?
 
kwahio huyo jamaa sio bilionea?mzee zinakutosha?
 
Ilianza kwa kusema ni uongo, ukasema hakuna credible source na sasa hivi umeanza kudogosha pesa zake ambazo we can tell kabisa HUNA 😂

Wivu wako ukiu-marinate kidogo tu unaenda kuwa Kalumanzila!
 
Kama hio kazi inawafanya watu mabilionea mbona mimi sikuwahi kuwa billionea.

Niliifanya hio mishe 2009-2010 ila zaidi ya kupata mademu hamna nilichofaidika nacho. Hela ya kula tu.
Hiko kitakua ni kianzio tu lazima kuna fursa alikutana nayo hapo kati sema hajataka kuweka wazi kakwambia alipoanzia tu
 
Hiko kitakua ni kianzio tu lazima kuna fursa alikutana nayo hapo kati sema hajataka kuweka wazi kakwambia alipoanzia tu
Always kuna siku moja maisha yanabadilika completely. Unakutama na mtu anakupa tobo unapata chain ya deals ambapo after a shortwhile unapata pesa nyingi sana.

Unabadili circle ya watu unajiwekeza huku na kule then boom after 10 good years umeshafikia level za ubilionea. Hii sehemu ya story huwa wengi hawaizungumziagi ndo maana success story nyingi za kibongo hazi add up.
 
Majanga sio part ya maisha?

Mkuu kila mtu anatafuta hela kwa pace yake.

Wewe kama unatafuta hela kwa ajili ya kula na kununua Nike (which is okay) wenzako wanawaza mbele, they want to have more.
 
Kwa Umri nilionao Kwa sasa Hivi Nina Miaka 53 nimebakiza Miaka 7 Nistaafu..
Hata Nikiweka Milion Kumi Kw Umri wangu Tayari Maji ya Jioni haya 😀😀
Naweza Nisifikishe hata Milion 70 😀😀
Mkuu sema kwa nchi za wenzetu 53 bado kijana kabisa 😆
 
Ilianza kwa kusema ni uongo, ukasema hakuna credible source na sasa hivi umeanza kudogosha pesa zake ambazo we can tell kabisa HUNA 😂

Wivu wako ukiu-marinate kidogo tu unaenda kuwa Kalumanzila!
huyu anatia huruma sana.
hela ya bongo niya bongo na yakenya ni ya Kenya. sijui yupoje huyu mtu🤣🤣🤣
 
Mtu katika kuangaika unapitia shughuli mbalimbali lakini kuna shughuli fulani miongoni mwa zile ulizopitia ndiyo inakuwa msingi wa mafanikio yako,sasa kwa huyo jamaa angesema kilichompa mafanikio,siyo aseme kilichompa mafanikio ni kuchoma CD.
Umeangalia hio video? Ku bsm cd ni mwanzo baadae aliendelea na vitu vingine.
 
Kama hio kazi inawafanya watu mabilionea mbona mimi sikuwahi kuwa billionea.

Niliifanya hio mishe 2009-2010 ila zaidi ya kupata mademu hamna nilichofaidika nacho. Hela ya kula tu.
Hio ni kawaida tu. Hata mimi shughuli ninayoifanya inefanya wengi mabilionea na mimi ni choka mbaya ila siwezi kukaa hapa kujifariji eti wao wamekuwa mabilionea kwasababu ya vitu viovu nyuma ya pazia. No never.
Acheni kujifariji.
 
Kazi inategemea unaifanya kwa ukubwa gani na kwa muda gani. I believe time factor is all it takes for one to succed.

How long your consistency is at doing something has alot to do with the success that comes as a result. Kingine ni how you expand, jambo lolote ukilifanya kwa ukubwa matokeo lazma yawe makubwa.
 
Hio ni kawaida tu. Hata mimi shughuli ninayoifanya inefanya wengi mabilionea na mimi ni choka mbaya ila siwezi kukaa hapa kujifariji eti wao wamekuwa mabilionea kwasababu ya vitu viovu nyuma ya pazia. No never.
Acheni kujifariji.

Watu hawataki kuamini kuna mabilionea walioanza from the scratch.

They are terrified of the idea kwamba kulikuwa na mtu kama wao ambaye alianza akiwa chini akaenda on top of the food chain.

Wanajisikia vibaya sana kwa sababu watajihisi wao ni wavivu au hawatoshi.

Ndo maana wanataka sources nyingi nyingi 😂
 
Katika maisha yangu hadi nilipofikia kiumri, nimejifunza kuwa:

Hakuna tajiri yeyote atakayekuambia siri ya mafanikio yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…