Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Mafanikio ni rahisi sana kuyasimuliaWakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Kwani mpaka kiatu kinashonwa si kinakuwa kibovu?Bakheresa alianza kama fundi wa kushona vviatu vibovu
Kwahiyo utaanza kuingiza milion 5 ukiwa na mwaka mmoja? Kijana jaribu kutumia akili. Haya tuanzie huo umri uliona nao anza kuweka milio 5 kama utafika hiyo pesa😅Kwani Unajua Utaishi Mpaka Lini?
Lets say nataka Kuishi Miaka kama Ya wasira..
80 au Hata Tisini Mbele..
5,000,000 X 12 x90 = Bilion 5.4
Habari yoyote inahitaji uhakiki.
Ndiyo maana katika uandishi wa habari kuna kanuni za kuthibitisha habari na vyanzo tofauti.
Ukipuuza kanuni hii, mtu yeyote anaweza kukujaza uongo wowote, na wewe ukaukubali, kwa sababu amesema tu.
Kwani wewe huutaki ubilionea?Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Watu wanaofanikiwa From scratch ujue hapo kuna nguvu ya muda nilazima uchukue muda kufanikiwa na huo muda ndio mafanikio yako .Vijana hawakubali kuamini kuna wanaoanza from scratch na kufanikiwa. Wanaamini kila aliefanikiwa kapitia njia za panya ambazo hasemi. Hii yote ni ku justify kuwa kufeli kwao ndio kawaida ya maisha.
Hata mimi nimechoka mbaya ila naamini wapo matajiri waliofanikiwa from scratch kwa juhudi na jasho lao sio njia za mkato. Nimefeli kwasababu kuba vitu nimekosea kwenye mapambano.
Ukikaa na waliofanikiwa utajiona ulikosea wapi. Sisi wengine hatuna muda wa kubadili ila vijana muda bado mnao badilikeni bado mna nafasi ya kutoaboa. Ila ukiamini huwezi kutoboa bila njia za mkato endelea tu tena unatakiwa utumie hizo njia ufanikiwe.
Eric usipanic umeleta habari ya kujifagilia ulidhani kila mmoja ataunga mkono na kukushangilia? Au ulikuja kuokota chawa humu?
Habari inahakikiwa kwa vyanzo kadhaa.Mwandishi ameenda hadi kwenye biashara zake. What else do you want?
Kama umeangalia hiyo video. Yupo kwenye hardware na kuna watu kweli amewaajiri na no wengi
Ulitaka akuletee bank statement ndo uamini?
Kwa hiyo habari zote za Azam TV wabongo mnaamini ila mtu kuelezea utajiri wake ndo mnaanza kuleta doubts.
Nimekwambia uniletee ushahidi kuwa hana hizo hela au hakuanza kwa kuchoma CD unaangaika tu.
Ushahidi wako uko wapi?
Hhahaha
Unaambiwa ulete ushahidi kuwa amesema uongo unaanza ku-call out watu
Hii mada ni kubwa kwako mkuu.
Ungejikita tu ku-comment DU Aisee kwenye nyuzi za watu
Habari inahakikiwa kwa vyanzo kadhaa.
Habari ya kutoka chanzo kimoja haijahakikiwa bado.
Waswahili wanasema "Muwamba ngoma huvutia kwake".
Unategemea mtu aliyeuza madawa ya kulevya akwambie utajiri wake kaupata kwa kuuza madawa ya kulevya?
Hujaelewa hoja yangu.Hoja ya madawa ya kulevya umeileta wewe.
Yeye ameleta 2 arguments kwamba yeye ni bilionea na ameanza kwa kuchoma CD
Ushahidi wako uko wapi kuwa he is and was not any of those things?
Ni habari ngapi una-commentigi humu jukwaani na hazijahakikiwa na unacomment?
Kwanini hii iwe exception?
Sawa mkuu.Watu wanaofanikiwa From scratch ujue hapo kuna nguvu ya muda nilazima uchukue muda kufanikiwa na huo muda ndio mafanikio yako .
Hela walipata toka kWa Marehemu Karume baada ya baba yao aliyekuwa Kiziwi kupigwa risasi kwa bahati mbaya.Bakheresa alianza kama fundi wa kushona vviatu vibovu