Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Mafanikio ni rahisi sana kuyasimulia
 
Habari yoyote inahitaji uhakiki.

Ndiyo maana katika uandishi wa habari kuna kanuni za kuthibitisha habari na vyanzo tofauti.

Ukipuuza kanuni hii, mtu yeyote anaweza kukujaza uongo wowote, na wewe ukaukubali, kwa sababu amesema tu.

Mwandishi ameenda hadi kwenye biashara zake. What else do you want?

Kama umeangalia hiyo video. Yupo kwenye hardware na kuna watu kweli amewaajiri na no wengi

Ulitaka akuletee bank statement ndo uamini?

Kwa hiyo habari zote za Azam TV wabongo mnaamini ila mtu kuelezea utajiri wake ndo mnaanza kuleta doubts.

Nimekwambia uniletee ushahidi kuwa hana hizo hela au hakuanza kwa kuchoma CD unaangaika tu.

Ushahidi wako uko wapi?
 
Vijana hawakubali kuamini kuna wanaoanza from scratch na kufanikiwa. Wanaamini kila aliefanikiwa kapitia njia za panya ambazo hasemi. Hii yote ni ku justify kuwa kufeli kwao ndio kawaida ya maisha.

Hata mimi nimechoka mbaya ila naamini wapo matajiri waliofanikiwa from scratch kwa juhudi na jasho lao sio njia za mkato. Nimefeli kwasababu kuba vitu nimekosea kwenye mapambano.
Ukikaa na waliofanikiwa utajiona ulikosea wapi. Sisi wengine hatuna muda wa kubadili ila vijana muda bado mnao badilikeni bado mna nafasi ya kutoaboa. Ila ukiamini huwezi kutoboa bila njia za mkato endelea tu tena unatakiwa utumie hizo njia ufanikiwe.
Watu wanaofanikiwa From scratch ujue hapo kuna nguvu ya muda nilazima uchukue muda kufanikiwa na huo muda ndio mafanikio yako .
 
Eric usipanic umeleta habari ya kujifagilia ulidhani kila mmoja ataunga mkono na kukushangilia? Au ulikuja kuokota chawa humu?

Hhahaha

Unaambiwa ulete ushahidi kuwa amesema uongo unaanza ku-call out watu

Hii mada ni kubwa kwako mkuu.

Ungejikita tu ku-comment DU Aisee kwenye nyuzi za watu
 
Mwandishi ameenda hadi kwenye biashara zake. What else do you want?

Kama umeangalia hiyo video. Yupo kwenye hardware na kuna watu kweli amewaajiri na no wengi

Ulitaka akuletee bank statement ndo uamini?

Kwa hiyo habari zote za Azam TV wabongo mnaamini ila mtu kuelezea utajiri wake ndo mnaanza kuleta doubts.

Nimekwambia uniletee ushahidi kuwa hana hizo hela au hakuanza kwa kuchoma CD unaangaika tu.

Ushahidi wako uko wapi?
Habari inahakikiwa kwa vyanzo kadhaa.

Habari ya kutoka chanzo kimoja haijahakikiwa bado.

Waswahili wanasema "Muwamba ngoma huvutia kwake".

Kwa mfano.

Mtu kapata utajiri kwa kuuza madawa ya kulevya.

Unategemea mtu aliyeuza madawa ya kulevya akwambie utajiri wake kaupata kwa kuuza madawa ya kulevya?
 
Jamani billionaire mwingine ni mimi hapa japo takua nipo soko la films industry...

Na nitakuja hapa kufufua nyuzi yangu ile ya ""na ndoto""
Wakuu vijana kinachotufelisha ni kukosa nidhamu pamoja na lugha ya biashara tuu
 
Eric leo umepanic sana kumbe comments za duh aiseee huwa zinakuumiza pole sana.

Uzi mzima unalilia ushahidi. Humu hupati chawa na comments za duh aiseee nitazimwaga za kutosha kwenye nyuzi zako teeeenaa mbili mbili
Hhahaha

Unaambiwa ulete ushahidi kuwa amesema uongo unaanza ku-call out watu

Hii mada ni kubwa kwako mkuu.

Ungejikita tu ku-comment DU Aisee kwenye nyuzi za watu
 
Habari inahakikiwa kwa vyanzo kadhaa.

Habari ya kutoka chanzo kimoja haijahakikiwa bado.

Waswahili wanasema "Muwamba ngoma huvutia kwake".

Unategemea mtu aliyeuza madawa ya kulevya akwambie utajiri wake kaupata kwa kuuza madawa ya kulevya?

Hoja ya madawa ya kulevya umeileta wewe.

Yeye ameleta 2 arguments kwamba yeye ni bilionea na ameanza kwa kuchoma CD

Ushahidi wako uko wapi kuwa he is and was not any of those things?

Ni habari ngapi una-commentigi humu jukwaani na hazijahakikiwa na unacomment?

Kwanini hii iwe exception?
 
Eric leo umepanic sana kumbe comments za duh aiseee huwa zinakuumiza pole sana.

Uzi mzima unalilia ushahidi. Humu hupati chawa na comments za duh aiseee nitazimwaga za kutosha kwenye nyuzi zako teeeenaa mbili mbili

Sawa umeshinda
 
Hoja ya madawa ya kulevya umeileta wewe.

Yeye ameleta 2 arguments kwamba yeye ni bilionea na ameanza kwa kuchoma CD

Ushahidi wako uko wapi kuwa he is and was not any of those things?

Ni habari ngapi una-commentigi humu jukwaani na hazijahakikiwa na unacomment?

Kwanini hii iwe exception?
Hujaelewa hoja yangu.

Huwezi kufanya abstract thinking.

Sijasema he is not any of those things he claims.

Nimesema habari ya chanzo kimoja ina low credibility, ili habari iwe ya kuaminika inahitaji kuwa supported na several sources.

Unaelewa tofauti ya mtu kusema huyu muongo na mtu kusema habari hii haina ushahidi wa kutosha kukubalika?

Niki comment habari ambayo haijahakikiwa hilo halimaanishi kuwa hii habari imehakikiwa.

That is a non sequitur logical fallacy.

But I suspect you don't know what that is, if you even know what a logical fallacy is at all.
 
Huyo anaitwa mdaka five vipi hajasema mbao za magendo , hajasema mafuta ya magendo, hajasema korosho za magendo toka msumbiji, vipi hajasema mafuta ya petrol ya magendo akisema hayo uje unieleze hapa, mueleze mbinga mbinguni ni pazuri
 
Back
Top Bottom