Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Sijui kwanini watu huwa hawasemi turning point, Kuna ile point inayotrigger mafanikio yako. Hiyo ndiyo inayoleta hamasa.Acha mawazo potofu
Mfano wa turning point: Kuna kijana dalali, kapambana sana na udalali, akanunua kaplot, miaka kadhaa ikapita yale maeneo yakahitajika na kanisa, ofa ya bei aliyopewa ikawa turning point.
Sasa wakati anasema historia yake, ili atoe hamasa inabidi aseme hiyo turning point na kushauri kuwa ukiwa unafanya kazi wekeza kwenye Asset hata kwa kidogo unachopata.