Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapambana kwa biashara ipi?Usisahau kasema saivi ana Mtaji wa Bilioni 4 na ana umri wa miaka 30 kuwa Bilionea sio Mchezo kapambana.
Vijana hawakubali kuamini kuna wanaoanza from scratch na kufanikiwa. Wanaamini kila aliefanikiwa kapitia njia za panya ambazo hasemi. Hii yote ni ku justify kuwa kufeli kwao ndio kawaida ya maisha.Vijana wako in a denial state
Kazi ipo
Unaihakiki vipi habari aliyohadithia?Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Hayo ni majanga kama majanga mengine eg. Mafuriko nk.Vita ikitkea hapa Tanzania sasa hivi kati ya wewe na MO Dewji nani atakuwa wa kwanza kuwa na ACESS ya kukimbia nchi?
Ndugu yako akipotea na ndugu wa Lugumi akipotea unadhani serikali itashughulika kumpata nani kwanza?
Habari yoyote inahitaji uhakiki.Vijana hawakubali kuamini kuna wanaoanza from scratch na kufanikiwa. Wanaamini kila aliefanikiwa kapitia njia za panya ambazo hasemi. Hii yote ni ku justify kuwa kufeli kwao ndio kawaida ya maisha.
Hata mimi nimechoka mbaya ila naamini wapo matajiri waliofanikiwa from scratch kwa juhudi na jasho lao sio njia za mkato. Nimefeli kwasababu kuba vitu nimekosea kwenye mapambano.
Ukikaa na waliofanikiwa utajiona ulikosea wapi. Sisi wengine hatuna muda wa kubadili ila vijana muda bado mnao badilikeni bado mna nafasi ya kutoaboa. Ila ukiamini huwezi kutoboa bila njia za mkato endelea tu tena unatakiwa utumie hizo njia ufanikiwe.
Ana mikopo. Kwa maelezo yake alianza kukopa 50m, mpaka sasa anakopeshwa billion. Inawezekana sema wenjine wakipata hio mikopo wananunua LC200/300 wanajenga magorofa kchenji inayobaki ndio wanaiweka kwenye biashara mwisho wa siku benki wanakuja kuchukua kila kitu.kapambana kwa biashara ipi?
Bilioni 4 kwa miaka 13 ina maana kaifikisha kivipi?
Ni sawa kabisa.Habari yoyote inahitaji uhakiki.
Ubilionea haupatikani kiboya boya kihivyo kama vipi na wewe nenda kachome cd uwe bilionea.Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Unaihakiki vipi habari aliyohadithia?
Biashara zina siri nyingi, utajuaje huyu kasema kweli wapi a wapi kaficha ukweli na kupiga hadithi ya uongo?
Habari yoyote inahitaji uhakiki.Yeye ameleta story ya maisha yake, unachobisha ni nini? Ulikuwa wakati anatafuta?
Au wewe ni ndugu yake?
Story za Steve Jobs, Elon Musk, Bill Gates na Mark mnaziamini ila akija Mbongo mwenzenu mnaleta ubishi.
Hebu tupe ushahidi kwamba anadanganya?
Ubilionea haupatikani kiboya boya kihivyo kama vipi na wewe nenda kachome cd uwe bilionea.
Hakuna mtu atakayekwambia ukweli namna alivyopata utajiri wake.
Amedanganya wapi? Yeye kuwa bilionea au kuchoma CD?
Una ushahidi?
Wewe ni kijana au mzee? Umekwama au ulikwama wapi?Yeye ameleta story ya maisha yake, unachobisha ni nini? Ulikuwa wakati anatafuta?
Au wewe ni ndugu yake?
Story za Steve Jobs, Elon Musk, Bill Gates na Mark mnaziamini ila akija Mbongo mwenzenu mnaleta ubishi.
Hebu tupe ushahidi kwamba anadanganya?