Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi, ukiona mtu anasema hivi au vile kuhusu mafanikio yake ujue kuna kitu anataka kukificha na pia anataka kujenga imani kwa jamii ili waamini kuhusu hilo jamboSio rahisi hivyo,Kuna mengi nyuma ya pazia hajayasema
Katika maisha yangu hadi nilipofikia kiumri, nimejifunza kuwa:
Hakuna tajiri yeyote atakayekuambia siri ya mafanikio yake.
Uzi huu umezidi kunionesha kuwa Watanzania wengi ni wajinga sana tu bado.Kama hio kazi inawafanya watu mabilionea mbona mimi sikuwahi kuwa billionea.
Niliifanya hio mishe 2009-2010 ila zaidi ya kupata mademu hamna nilichofaidika nacho. Hela ya kula tu.
Ni sahihi, ukiona mtu anasema hivi au vile kuhusu mafanikio yake ujue kuna kitu anataka kukificha na pia anataka kujenga imani kwa jamii ili waamini kuhusu hilo jambo
Having said all that, why don't you believe that guy can be a billionare from scratch? Maneno yako yanathibitisha inawezekana. Dogo kaanza hustle baada ya kuhitimu form 4 now he is 30, miaka mingapi hio? Si chini ya 15Kazi inategemea unaifanya kwa ukubwa gani na kwa muda gani. I believe time factor is all it takes for one to succed.
How long your consistency is at doing something has alot to do with the success that comes as a result. Kingine ni how you expand, jambo lolote ukilifanya kwa ukubwa matokeo lazma yawe makubwa.
Uzi huu umezidi kunionesha kuwa Watanzania wengi ni wajinga sana tu bado.
Yani hoja rahisi na ya msingi kama vile habari kutakiwa kuwa na vyanzo tofauti ili kuweza kuwa na credibility ya juu bado inawapiga chenga Watanzania wengi.
Hawajui kwamba Wafanyabiashara wengi hawako wazi kuhusu vyanzo vya mafanikio yao, na jambo hilo linahitaji uhakiki wa kina, na mtu kuwa chanzo cha habari ya kuhusu chanzo cha mafanikio yake, bika ya habari hiyo kuwa na chan,o tofauti, ni tatizo, hqbari hiyo inakuwa na low credibility.
Wabongo wengi ukiwaambia hii habari ina low credibikity kwa sababu mtoa habari anatoa habari kujihusu yeye mwenyewe, na habari haina chanzo kingine tofauti, wanakwambia una wivu, una chuki.
Wanashindwa kuangalia hoja, wanakuja kimahaba kumtetea bilionea wao.
Wengine wanashindwa kueleea hoja ya kuhoji chanzo cha ubikionea, wanaukiza "kwa hiyo unasema jamaa si bikionea?"
Hawaelewi kuwa kwenye habari habari si mtu kuwa bikionea tu, habari ni mpaka chanzo cha ubikionea.
Hapo ndipo utajua mfumo wetu wa elimu umefeli.
1. No critical thinking.
2. No abstract thinking.
3. No logical thinking.
4. No reading comprehension.
True wanaficha best part ya story zao ila hii inahusisha na imani tulizojijengea kiafrika na roho mbaya tulizonazo hatutaki kuona wenzetu wameendelea bali tunataka tuwashushe wawe kama sisiAlways kuna siku moja maisha yanabadilika completely. Unakutama na mtu anakupa tobo unapata chain ya deals ambapo after a shortwhile unapata pesa nyingi sana.
Unabadili circle ya watu unajiwekeza huku na kule then boom after 10 good years umeshafikia level za ubilionea. Hii sehemu ya story huwa wengi hawaizungumziagi ndo maana success story nyingi za kibongo hazi add up.
Hii comment ni konyo,mpaka vidonda vya tumbo! ujinga huo,! unahangaikia hela unakuja kupata maradhi yanaitumia hiyo ela
It might be true given that ali venture into other kind of businesses. Ila kusema kwamba ku burn CD ndio main source ya ubilionea hio ntaendelea kukataa.Having said all that, why don't you believe that guy can be a billionare from scratch? Maneno yako yanathibitisha inawezekana. Dogo kaanza hustle baada ya kuhitimu form 4 now he is 30, miaka mingapi hio? Si chini ya 15
Nyinyi ndio mmeshikia bango kuchoma CD. Kuchoma CD ni moja ya vitu alifanya.Sasa kama kuna shughuli nyingine iliyompa mafanikio kwa nini story inakuwa kuchoma CD!
tajiri mkongomani aliyekamatwa na kg 200 za madawa ya kulelya nchini columbia.Eric ni nani?
Hapana watu tu wameshikia bsngo hoo kuchoma CD. Na media zetu wanajua wakisema Kawa bilionea kwa kuchoma CD habari itakuwa hot.It might be true given that ali venture into other kind of businesses. Ila kusema kwamba ku burn CD ndio main source ya ubilionea hio ntaendelea kukataa.
Mimi sina haja ya kuangalia hiyo video kwa sababu nimeona habari yote jana kupitia UTV.Wewe hujaangalia video.
Amesema hapo kuwa ana kampuni ya usafirishaji na ana kampuni ya hardware.
Ulitaka ataje nini ndo uridhike? Ngada?
Zuckerberg na hao wengine wote wanatokea upper middle class families. Hata vyuo walivyokuwa wanasomea hawaendi maskini. Hivyo kuwa mabilionea wala sio habari.Ila wakina Zuckerberg na Steve Jobs hadi speeches zao mnasikiliza freshi.
Shida yenu maisha yenu yana-rotate around social media.
Mkata viuno Diamond akisema yeye ni tajiri mnakubali ila akisema mtu ambaye hujawahi kumuona hamuamini.
Hivi mnajisikia?
Kwenye hio habari kwenye TV wamezungumzia kuchoma CD tu?Mimi sina haja ya kuangalia hiyo video kwa sababu nimeona habari yote jana kupitia UTV.
Hizo gari,hardware na kuwa na akaunti iliyonona ndiyo mafanikio yenyewe,sasa ni kweli mafanikio hayo yamepatikana kwa kuchoma hizo CD au ilifikia wakati akapata channel nyingine ambayo ndiyo imemfikisha hapo alipo ambayo hakuiweka wazi kwa sababu zake binafsi?
Kwa sababu katika hali ya kawaida ni vigumu sana kupata mafanikio aliyonayo sasa kwa kuchoma CD tu.
Siyo sisi bali ni "Motivational speaker" mleta mada ndiyo anadai hivyo.Nyinyi ndio mmeshikia bango kuchoma CD. Kuchoma CD ni moja ya vitu alifanya.
Nimechangia uzi ulivyoletwa ndiyo maana nakataa kilichoandikwa hapa na mleta mada.Kwenye hio habari kwenye TV wamezungumzia kuchoma CD tu?
Ah wabongo utawaweza? Huyo Diamond kila siku anapigwa vita kuhusu utajiri wake. Kitu amba ho nchi mnakikubali ni shida tu. Mtu akisemwa masikini hamuwezi kuhoji kama akisema ni tajiri.Zuckerberg na hao wengine wote wanatokea upper middle class families. Hata vyuo walivyokuwa wanasomea hawaendi maskini. Hivyo kuwa mabilionea wala sio habari.
Diamond ameanza maisha na amekuwa on limelight toka anaanza hustle 2009. Strategies zake unaweza hata kuzi document kwa sababu ziko visible. Alikutana na watu wakamuamini and he did his part well. Hata ukitathmini sasa ni 15 years toka ameanza kuonekana kwa Media. Leo hii hata akasema he is worth 35 Billions in Tshs. wala sitashangaa.