binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
821KJ.Umenikumbusha mbali, 821 KJ Bulombora 2017 hiyo nikiwa mujibu wa sheria B Coy.
Tuliwakuta kuruta OP Tanzania ya Viwanda walikuwa wameiva.
Nakumbuka kulikuwa na mwamba mmoja ivi Mkurya alikuwa ni mbabe sijawahi ona.
Mwamba alikuwa anaingia kwenye dormitory ya Mademu kwa nguvu.
Alipigika sana na MPs lakini wapi, hadi walimuhamisha hiyo Kambi sijui aliendaga wapi mwamba.
Oya wanangu wa 821 KJ Bulombora mnamkumbuka AFANDE MNAA? Nasikia now ni marehemu, Oya mnamkumbuka afande Msukuma mzee white mwili Jumba.
Oyaa mnamkumbuka Afande Sambufaaa, Oyaaaa balaa kwa Afande Warioba kama sijasahau Jina aliua chatu hadi akachoma nyama yake nakumlaaa.
inahusika,walipaswa kufunzwa namna ya kuzungumza,na ikiwa wao ni walinzi wa nchiNadhani haya ni makosa yao Binafsi. Sioni kama Taasisi Inahusika hapo.
Haya ni mawazo yao wenyewe.
eeeeeeee waaaaa binti kiziwi, Wezere821KJ.
Mi namkumbuka afande sabufa, Afande Chulei sameja π Huyo msukuma ni nani? au Wezere?
πππ
Afande Sabufa mhaa wa misifa na Ashock Loyland yake...821KJ.
Mi namkumbuka afande sabufa, Afande Chulei sameja π Huyo msukuma ni nani? au Wezere?
πππ
ππππ wazi afande.eeeeeeee waaaaa binti kiziwi, Wezere
Wazi Afande, Jamaa ana bonge la Sauti. Inawezekana Binti Kiziwi tulikuwa intake moja.ππππ wazi afande.