Video: Vijana wa Kipalestina waingia barabarani wakilaani HAMAS

Video: Vijana wa Kipalestina waingia barabarani wakilaani HAMAS

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kumekucha, wameanza kutia akili, kimsingi haitokuja waue Wayahudi wote, hivyo lazima wakubali kuishi kwa amani.

Kila nikikumbuka picha ya huyu mwamba huwa nacheka sana, alidhani vita ni zile movie za kihindi

main-qimg-be53b14267da784a643e7593a715fc52

View: https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/

Umedanganya sana.
Vijana wanashangilia ushindi wa Hamas wanaoupata kusini na kaskazini.
Hamas wanaungwa mkono sio Palestina peke yake bali duniani kote ukiondoa wachache kama wewe.
 
Nimekumbuka picha za kutisha magaidi wa mokamasi wakiburuza kwa pikipiki barabarani maiti za wapalestina wenzao waliowapinga miaka ya nyuma, hawa wahuni waliomwua Mollel ni mashetani sana hawatakagi kupingwa na ni kawaida ya waarabu wanajiona wana haki ya kuua mtu yeyote, kuteka, ku enslave,
 
Umedanganya sana.
Vijana wanashangilia ushindi wa Hamas wanaoupata kusini na kaskazini.
Hamas wanaungwa mkono sio Palestina peke yake bali duniani kote ukiondoa wachache kama wewe.
Huyu hapa mmoja wapo kaamka.
 
Huyu Jamaa Hata Akiona Habari Za Hamas Kwenye Page Za Umbea Yeye Anadaka Yaani Kama Zuzu
 
Hakuna namna Hamas washinde Israel, haiwezekani vinginevyo wapalestina wataisha, wapalestina wangeweza kuwaunga mkono endapo Hamas wangejitoa kupigana na Israel, lakini kitendo cha hamas kupigana na kujificha kwa raia huo ni uuaji mkuu sana. Palestinians imepoteza watu zaidi ya elfu 26, hapo majeruhi watakuwa ni wengi, bado hamas na wananchi wa kawaida wengi wamekamatwa na jeshi la Israel. Bado wapalestina zaidi ya laki 1 wamefukuzwa kazi kule Israel, dunia iache ujinga, nawashauri watu wa Ghaza, West bank na Israel wakubaliane waishi pamoja ndani ya nchi moja ya Israel ili maisha yasonge mbele, kwa sababu haitawezekana Israel kuachia ardhi eti nchi inagawanywa, waarabu wa Palestinians wasitangulize maslahi ya dini , uzuri kule wayahudi wengi waliotoka Ulaya hawana habari na mambo ya Udini, wenye Udini ni wayahudi wachache sana marabii ambao hawana hata nguvu yoyote, mfano mzuri kuna waarabu , waislamu, wakristo ambao wanaishi Israel na wengine ni viongozi wa kisiasa, wanafurahia maisha, suluhisho ni kuundwa taifa moja tu la Jamuhuri ya Muungano wa Israel na Palestiniana. Kama ilivyo nchi ya Trinidad & Tobago.
 
Umedanganya sana.
Vijana wanashangilia ushindi wa Hamas wanaoupata kusini na kaskazini.
Hamas wanaungwa mkono sio Palestina peke yake bali duniani kote ukiondoa wachache kama wewe.

Hehehe mumeamka
Mnachekesha sana, hizi habari za ushindi wa HAMAS mnadanganyana huko kwenye misikiti, tafuta MBs uingie online ujitafutie habari.
 
Kipigo kimekolea mpaka wameamua kutema bung’o.
Kweli myahudi kiboko ya magaidi
 
Back
Top Bottom