Video: Vijana wakamatwa kwa uchawi

Nachingwea😃😃😃 Big NOOO! Hakuna Mnachingwea asieelewa kuwa uchawi upo ingawa si wote wanaoushabikia. Sema ukweli mkuu, uko nchi gani? Watu wote wanaoishi Nachingwea wanafahamu kuwa uchawi upo.
Uchawi upo vichwani kwa watu wasio taka kufikiri zaidi .
 
Sidhani kama hao vijana wangetengwa/wangewekwa tofauti katikaahojiano wangeweza kutoka majibu yenye kufanana.

Sometimes ni trick tu.
Janja janja za watu wakiwa na Malengo yao binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…